Natafuta mtu wa kuniondolea stress

Natafuta mtu wa kuniondolea stress

Ww jamaa yaani tatizo dogo una solve kwa kutumia tatizo kubwa? Tatua kwanza tatizo la kuwa na stress
 
Mkeo ndo wakukutoa stresss tu
Hapa ndo napowashangaa jinsia me ukipata mdada afu penz lilakolea utaamia kwake au utataka ikifka saa 4 uende kwa mkeo yy abak anaumia mmmm afu stres akupe nan faraja akupe mwajuma....pambana mzee
 
Sasa unataka tukae na mtu wa kutupa stress tugundue nini

Naenda kwa asha kupata faraja baadae narudi kwa mke wangu amina mwenye gubu kwakua narudi usiku sana stress zake nazikwepa ukirudi nikulala tu .na kwa stail hyo lazima anyooke tu abadilike

Wanaume tuna life span fupi ya nini kujitesa

Nina mademu watatu wote niliwahidi nitawaoa wote wananisumbua kwelikweli bado Nina makoloni mengine manne yananipenda kwelikweli wivu ndo usiseme ni pasua kichwa

we mwanamke mmoja ndo anakushinda ? hili si balaa hili
Hao wote unaishi nao nyumba moja. Mfano wako hauna mantiki kwa waliooa. Hujua hao watu hubadilika baada ya kuolewa. Oa halafu ndio utamuelewa mleta mada.
 
Sasa unataka tukae na mtu wa kutupa stress tugundue nini

Naenda kwa asha kupata faraja baadae narudi kwa mke wangu amina mwenye gubu kwakua narudi usiku sana stress zake nazikwepa ukirudi nikulala tu .na kwa stail hyo lazima anyooke tu abadilike

Wanaume tuna life span fupi ya nini kujitesa
Watu hawaelewi maana ya stress. Kuna kero ambazo kwa mwingine ni ndogo lakini kwangu ikawa kubwa. Hakuna maisha mazuri kama peace of mind. Wadau wanadhani kila kitu kina solution moja.
 
Mm ni kijana mwenye umri wa 31 years old nipo kwenye ndoa huu ni mwaka wa pili nauanza but nimegunduaa Ndoa inachangamoto nyingi sana.

Inshort nimekua ni mtu wa stress muda mwingi sana maana mm sio muongeaji sana so nahisi naumiaaa kimoyomoyo.(kero ndogondogo kutoka kwa wife).

Hivyo basi nahitaji mdada yeyote anayeweza kunitoa ktk stress nilizonazo (urafiki) Maana nahisi naweza kuumia bure
Jiandae wife wako atahitaji kutulizwa pia
 
Aiseee yani PM hakuna hata txt moja ......wanawake wa humu mbona mnakuaa wakatiliii hivi jamaniii?
 
Aiseee yani PM hakuna hata txt moja ......wanawake wa humu mbona mnakuaa wakatiliii hivi jamaniii?

Kama anakusababishia stress piga chini faster na vuta chuma kingine,warembo wote hawa kwanza maisha yenyewe mafupi haya.
 
Naona unataka kuvuka mkojo ukakanyage mavi..shauri yako
 
Back
Top Bottom