Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,532
Sentensi ya mwisho nimeielewa🥂🥂😘Relax mkuu, ndio kwanza mmevuka ubungo mataa unataka kufaulisha abiria!.
Hivi yule msanii aliyeimba hilooo ni chaguo lako alikuwa anawaza nini?
Kwani mkuu huko unapokaa, kufanya kazi huwezi pata mchepuko?
Ukipata muda peleka zawadi na samahani kwa babaako, maana ulivyokuwa mdogo, ulikuwa unaimba nani kama mama na kumuona mzee anazingua. Now it's your turn, relax