Natafuta mtu wa Kuniloga

Yani kama uchawi upo kuna Mod mmoja lazima nimbadili jinsia. Nielekezeni wanapouza uchawi puliz
 
Reactions: Paw
makubwaaaa

but NGULI haya usiyasemee huku kwa keyboard. Hatuwezi kukuloga through keyboard nenda kaseme live na walozi.

Tutathibitishaje kama kweli ulienda?? Thubutuuuuu chezea uchawi wewe.
 
Last edited by a moderator:
NGULI Vipi kuhusu itikafu au albadiri! ipo au haipo?
 
Last edited by a moderator:
Katika harakati Za kudai uhuru. Jkn alizikwa nusu mchangani na walioamini uchawi. Tukapata uhuru, na sasa huko bwagamoyo ndiko alitokea jkm hapo sI uchawi tiyari.
 
Naomba unipe jina lako na la mama yako liwe kamili.
Halafu niambie unataka nikuroge uweje
1.Ufe kabisa?
2. Uwe kichaa?
3.Uwe fukara maisha yote?
4.Uwe shoga?

Hahaha kaz kweli kweliii mhhh
 
Kuna Mtanzania mmoja alisema kuwa yoyote atakayemgusa kwa lengo la kumdhuru atawaangamiza ukoo wake wote kwa uchawi, hata PANYA hawatabakia.

Kama uko serious, mtafute huyo Rais umdhuru utajua kama uchawi upo au lah.



Hata Mi sina IMANI hata kidogo kama uchawi uko.
Na huyo ajaribu kufanya mambo yake sasa!
 
Msinitishe kwenye PM kama wewe unaamini kuna uchawi na unaweza kuniloga go ahead do it....
acha kunitisha kumbuka nimekaa na wachawi.haswa wanaosifiki kwa matukio makubwa lakini hawakuniweza. Uchawi ni woga na imani yako. Watanzania tulivyo na fitina sitingewaloga mafisadi basi. Kwenye vyama vya siasa si ndio mngetunguana kama ndege? kuna sumu sio uchawi
 
ni PM nije nikuloge huku kwa kuwa sikujui nikishakujua ili uwe karibu kuna misemo inasema ..............uchawi hauvuki bahari.... na pia akulogae anakujua............. sasa muhimu nikujue kwanza alafu nuikutupie kitu hicho mapaka mauti ndo itakuokoa kwenye hayo mateso,,,
 
uchawi nafkiri ni imani ya mtu, kama huamini basi hakuna ambae anaweza kukuroga pia nakushauri acha kufanya utafiti endelea na imani yako hiyo kwamba hakuna uchawi,kwani kwa kweli UCHAWI UPO LAKINI USIUAMINI ukiamini uchawi lolote baya likikupata utahisi umerogwa hata kama si kiweli.
 
ha ha hawezi jibu swali lako..kwanza amesha panic!

Sijapanic. Sijajibu hilo swala linaingiliana na imani ya dini na sio muda wake sahihi wa kujadili labda apeleke jukwaa la dini likajadiliwe huko.
 


cc LIKUD Pasco mshana jr
 
Last edited by a moderator:
We ushalogwa,sema tu hutaki kukubali,tena aliyekuloga amesha kufa aisee!
 
NGULI Unataka urogejwe, sema mwenyewe. Then nipe jina lako kamili. Then tafuta mashahidi watakao tujuvya hapa JF. Kwa promosheni wewe nita kuroga bure.
 
Last edited by a moderator:
NGULI Weka picha ya hayo ma-tent, ili tuamini hiyo research yako!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…