Natafuta mteja wa zao la kunde

Chui mnyama

Member
Apr 2, 2017
67
33
Habari za muda huu wanajamii Forums. Kwanza kabisa napenda kumshukuru mwenyezi Mungu mwingi wa rehema alineyetujalia uzima.

Sasa nijielekeze moja kwa moja kwenye mada yangu. Kutokana na mwaka wa Jana kuwa kulikuwa na hali Nzuri ya hewa nilifanikiwa kulima zao la kunde cha kumshukuru Mungu nikwamba kunde zimekubali kwelikweli na nina zaidi ya tani tano za kunde sasa changamoto no soko

Kama kuna mtu anajua soko la kunde naomba unijuze kwa komenti hapo chini ili niweze kujikwamua

Natanguliza shukrani.

Nawasilisha.
 
Moka wa lindi yaani usafiri ni gari moja tu mzigo unafika dar siku hiyohiyo. Mawasiliano 0628570117
 
Back
Top Bottom