Natafuta msichana wa kazi za ndani

Natafuta msichana wa kazi za ndani

Ukilinganish hivo sio sawa. Maana asilimia kubwa ya house maid, anajitoa kwa kila kitu kufanya mambo yako tu. Hakuna mafao, wala nin, na ikitokea akapata majanga kazini ndio basi pia. Hakina mkataba wala nn

Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE
Fungua taasisi utetee maslahi yao uwaunge mkono watetezi wengine kama vile; wote sawa, kiwohede na Joyce kiria.
naona kuna gap hawajali address unaweza fill hapo.....na pia 200k bado ndogo sana kwa majukumu wanayoachiwa majumbani,hakikisha unawapigania walipwe beyond nominal wage wafidie ugumu Wa kazi zao. Walipiwe pia na other statutory benefits like social security fund, health insurance, etc.
Hakika wanajitoa sana kwenye familia
 
Una kaa kazini masaa mangap, je yeye ni mangap

Sent using Jamii Forums mobile app
Masaa yangu ya kazi inategemeana na majukumu na mkataba wangu na mwajiri, mpaka sasa tangu alfajiri Niko kazini natumia bundle la ofisi tu huku nikiendelea na kazi yangu ya ulinzi taratiiiibuuuu
Housemaids kuna Wa day na Wa day and night yaani permanent settler analala na kushinda home mpaka atakapoondoka.
Mimi mwajiri wangu hanipi malazi wala chakula housemaid anagharamiwa vyote na mwajiri
Mimi naiba bundle la ofisi yeye anaiba uji Wa mtoto ili mradi kumkomesha mwajiri tu.
 
Fresh graduate mwenye degree yake hapa bongo nyakati hizi analipwa laki 2. Alafu mtu anafanya kazi za ndani ambazo ni kawaida kwa binti wa kitanzania, kula bure, kulala bure, matibabu anapewa alafu alipwe laki 2. Watu hawapo serious jamani. Ebu tuweni realistic.
200k house maid wa kitanzania?

Mkuu hiyo pesa nyingi sana, kwa watu wengi ni kama 1/3 ya mshahara wa mwajiriwa aliyesoma hadi Diploma hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa
Ticha anapata muda wa kufanya mambo binafsi. Na by the way ticha halipwi hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo housemaid hapati muda? Inatwgemeana na akili binafsi
By the way hoja zako hazina uhalisia labda uharakati tu na kukosa uzoefu kwenye unalotetea bila reality. Wapo maids wanaolipwa zaidi ya 200k wakifanya kazi kwa watu wenye social economic status kubwa nchini, nao kuna vigezo katka kazi.
Lakini hawa maids tunaowatorosha shule hata ukimpa biashara ndogo afanye baada ya kazi hawezi zaidi ya kufuatilia tamthiliya na udaku baada ya kazi
 
Fresh graduate mwenye degree yake hapa bongo nyakati hizi analipwa laki 2. Alafu mtu anafanya kazi za ndani ambazo ni kawaida kwa binti wa kitanzania, kula bure, kulala bure, matibabu anapewa alafu alipwe laki 2. Watu hawapo serious jamani. Ebu tuweni realistic.

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanajifanyisha uharakati hewa humu wanajifanya awajui uhalisia
Ukute hiyo 200k ni sehemu ya 1/3 ya net pay yake per month then anasuggest alipwe housemaid after all costs ati ni fair.
Naona walioweka vigezo hawana huruma na akili kuwazidi
Wakikuwa wataelewa wanachoongea kwa sasa wacha tutumie keyboard zetu na bundle za ofisi
 
Kwanza hiyo 80,000 kwa kazi na benefits alizoorodhesha hapo ni fair 100%
Watu wanajifanyisha uharakati hewa humu wanajifanya awajui uhalisia
Ukute hiyo 200k ni sehemu ya 1/3 ya net pay yake per month then anasuggest alipwe housemaid after all costs ati ni fair.
Naona walioweka vigezo hawana huruma na akili kuwazidi
Wakikuwa wataelewa wanachoongea kwa sasa wacha tutumie keyboard zetu na bundle za ofisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Masaa yangu ya kazi inategemeana na majukumu na mkataba wangu na mwajiri, mpaka sasa tangu alfajiri Niko kazini natumia bundle la ofisi tu huku nikiendelea na kazi yangu ya ulinzi taratiiiibuuuu
Housemaids kuna Wa day na Wa day and night yaani permanent settler analala na kushinda home mpaka atakapoondoka.
Mimi mwajiri wangu hanipi malazi wala chakula housemaid anagharamiwa vyote na mwajiri
Mimi naiba bundle la ofisi yeye anaiba uji Wa mtoto ili mradi kumkomesha mwajiri tu.
Ukiw na mindset ya kuona, kumkomoa mwajili ni kujiboresha, utakuja siku kumpa mwajili sumu uone ndio faida hiyo.

Wachawi hufanya hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hapo umeongea kinafk.

Sent using Jamii Forums mobile app
Najaribu kutazama hoja yako kwa jicho jingine hivyo nakuunga mkono uone namna ya kuliaddress suala la malipo kwa wafanyakazi Wa majumbani pamoja na maboresho ya maslahi yao.

Fungua taasisi uwatetee wanatumikishwa sana kwa ujira kidogo waajiri wawaboreshee.

NB: wafanyakazi wengi Wa nchi hii yaani waajiriwa wengi kiuhalisia hawana tofauti na housemaids kwa mazingira ya kazi in relation to ujira plus maslahi, tofauti yao labda kigezo cha elimu na status lakini bargaining power ni negative kabisa.
Imagine miaka mitano waajiriwa serikalini wanasubiri kudra za rais waongezewe mishahara huku wakijifunga mkanda kiuchumi na hakuna hata kuonyesha hisia hadharani, halafu unamletea hoja eti amlipe housemaid theluthi ya anacholipwa bila nyongeza kwa miaka mitano mfululizo bila kujali hali ya kiuchumi.

Wew kama mlinzi, anza kufanya upande wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usije ukaenda kumgeuza asusa
Natafuta msichana wa kazi za ndani wa kukaa na mama yangu. Awe mtu mzima mwenye uwezo mzuri wa kazi. Awe tayari kulala nyumbani ninapoishi na siyo wa kwenda na kurudi.

Awe na stamina ya kudumu kwenye kazi na siyo mbabaishaji.

Mshahara Tshs 80,000 /- akifanya vizuri naweza kumwongeza baada ya muda.

Majukumu :-

1. Kupika
2. Kuosha vyombo
3. Kufua
4. Kufanya usafi wa ndani.

Mawasiliano: 0719 203 118 au njoo chamber kwa maswali zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wew kama mlinzi, anza kufanya upande wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwaongeza mshahara?
Elimu yangu ya ulinzi Wa uchumi plus experience hainipi nadharia wala practice ya nyongeza bila vigezo bali elimu ya imani inanipa hiyo nafasi lakini vigezo na masharti kuzingatiwa na la si kila mtumwa astahili hill kwa nyakati zpte Bali utumishi wake uliotukuka waweza muweka katika nafasi nzuri mitholi ya Yusufu au Musa kwa wamisri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom