Natafuta msichana wa kazi za ndani

Natafuta msichana wa kazi za ndani

Ngoja nikuchekie mmoja hivi, ila uandae ya dalali 🤣
 
Mtu anakula kwangu bure, matibabu nagharamia. 80 inamtosha sana. Unasuggest walipwe kiasi gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unahisi ni fair kweli.

Ungeweza kufanya kazi kwa boss wako kwa kazi unayofanya, ukipewa msosi, pa kulala na matibabu na 80k.

Twende hapa tafadhali. Huyo kakupa uhuru wake, mambo yake binafsi anaacha kukutumikia. Wengine wanaenda far zaid kunyanyasika.

Wapewe hata 200k

The World is not fair at all. Wanaofanya kazi ngumu mara zote ujira wao ni mdogo. binafsi siwezi ajiriwa kwa 80 ni bora nikauze maandazi, tunatofautiana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata 200k angalau. Maana unanunua nyakati yake na maisha yote anakuwa chini yako.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna vigezo kadhaa vya kiuchumi na kijamii vya kupanga mishahara.
1. Elimu
2. Upatikanaji Wa wafanyakazi
3. Hali ya kiuchumi ya taifa na MTU binafsi yaani mwajiri
4. Aina ya kazi na risk zake.
5. Ujuzi Wa mfanyakazi.
6. MAPENZI BINAFSI YA MWAJIRI PIA YAWEZA DETERMINE PRICE YA HOUSEMAID.
NB: KIMA CHA CHINI CHA MSHAHARA WA MTANZANIA HAKIKIDHI KUMLIPA MFANYAKAZI WA NDANI KIWANGO UNACHOHISI NI FAIR KUMLIPA, LAKINI PIA KUNA VIWANGO ELEKEZI SERIKALI IMEWEKA KWAAJILI YA WAFANYAKAZI WA MAJUMBANI
 
Kama ni hivi mwalimu wa shule ya msingi atalipwa shilingi ngapi? Sasa ukimlipa house maid 200k na matumizi yote anapata kwako tukisema umlipe kila kitu ajitegemee kula na kulala, n.k bajeti ya mwezi iwe;

*150,000 ya chakula (5000 kwa siku Ɨ 30)
*40,000 kulipa chumba (hapa tusimlazimishe kulala kwenye room nzuri kama anayolala hapo nyumbani)
*15,000 ya maji, umeme, usafi, ulinzi. Nayo haitoshi kabisa.

Tv anayotazama na anasa nyingine zote tusimbebeshe. Tukijumlisha ni 205,000.
Ongeza salary unayotaka 205,000 + 200,000 utatakiwa kumpa jumla ya 405,000.

Hiki kiasi kuna wanaoona kikubwa au kidogo kulingana na uwezo wao. Lakini huwezi kufanya wote walipe hivi. Si kiasi cha chini hiki.
 
Ticha anapata muda wa kufanya mambo binafsi. Na by the way ticha halipwi hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna vigezo kadhaa vya kiuchumi na kijamii vya kupanga mishahara.
1. Elimu
2. Upatikanaji Wa wafanyakazi
3. Hali ya kiuchumi ya taifa na MTU binafsi yaani mwajiri
4. Aina ya kazi na risk zake.
5. Ujuzi Wa mfanyakazi.
6. MAPENZI BINAFSI YA MWAJIRI PIA YAWEZA DETERMINE PRICE YA HOUSEMAID.
NB: KIMA CHA CHINI CHA MSHAHARA WA MTANZANIA HAKIKIDHI KUMLIPA MFANYAKAZI WA NDANI KIWANGO UNACHOHISI NI FAIR KUMLIPA, LAKINI PIA KUNA VIWANGO ELEKEZI SERIKALI IMEWEKA KWAAJILI YA WAFANYAKAZI WA MAJUMBANI
Kama hakikidhi hasitake kuishi life hasiloweza ki afford.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
200k house maid wa kitanzania?

Mkuu hiyo pesa nyingi sana, kwa watu wengi ni kama 1/3 ya mshahara wa mwajiriwa aliyesoma hadi Diploma hivi
Ukilinganish hivo sio sawa. Maana asilimia kubwa ya house maid, anajitoa kwa kila kitu kufanya mambo yako tu. Hakuna mafao, wala nin, na ikitokea akapata majanga kazini ndio basi pia. Hakina mkataba wala nn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
a
Kama hakikidhi hasitake kuishi life hasiloweza ki afford.

Sent using Jamii Forums mobile app

Unadhani MTU anapohitaji msaidizi Wa kazi ni ufahari na kutaka kuishi maisha asiyoweza afford eehh?

By the way, hiyo logic ya kuwa housemaid anakukabidhi Uhuru wake mbona iko katika maisha ya kawaida ya mwajiriwa yoyote tu anakuwa mtumwa kwa mwajiri wake hivyo sio kigezo cha kumlipa kuzidi kiwango elekezi kinachoendana na social economic status.
Watumwa wapo, walikuwepo na wataendelea kuwepo as far as maisha yanaendelea, social classes pia zipo kikubwa imani na kujali na kuheshimu MTU bila kigezo chochote..
 
Una kaa kazini masaa mangap, je yeye ni mangap

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom