Natafuta msichana wa kazi za ndani

Natafuta msichana wa kazi za ndani

Ukilinganish hivo sio sawa. Maana asilimia kubwa ya house maid, anajitoa kwa kila kitu kufanya mambo yako tu. Hakuna mafao, wala nin, na ikitokea akapata majanga kazini ndio basi pia. Hakina mkataba wala nn

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka hela anayolipwa maid kwake ni kama savings...

Mahitaji yote ya muhimu ya msingi hupewa na mwajiri wake, afya, malazi na chakula.

Halipii umeme, maji, televisheni, usafiri anapanda wa bosi kama upo...

Kwa binti mwenye kufanya kazi zake kwa mpangilio mzuri hupata hata muda wa kulala n.k
 
Vipi, akipata majanga. Yatayo ghalim viungo au ulemavu?? Kuna namn yeyote atapew sapoti?? Vipi, kuhusu future yake na majukum mengine ya kifamilia? Kuna mtu ameacha mwanae ili akuhudumie mwanao.

Sema tu, njaa, lakini hatupo fair kwa hao ndugu zetu. Ndio maana leo hii huwezi ruhusu binti yako akafanye kazi za ndani.

Hii haina tofauti na ile cheap labour ya kina wajeruman.

Mkuu ajira ya dada wa ndani ina uhatarishi wa majanga gani yahusianayo na "nature" ya ajira?

Maana kwa jinsi ninavyofahamu hata ajira ambazo ni formal sio zote unalipwa risk allowance...

Mkuu hakuna ajira inayotazama future ya anayeajiriwa kwenye suala la malipo, waariji wote hulipa waajiriwa wao kulingana na wakati uliopo...

Kuacha familia yake is not an excuse, hata waajiriwa wengine huacha ndugu au familia zao ili waende makazini...

Speaking of fairness mkuu, ajira zote hazipo fair, na walau kazi za ndani zitakuwa fair kwa namna unavyotaka kama tu ajira hiyo itakuwa rasmi yaani wadada wa kazi wawe wanalipa kodi PAYE, NSSF n.k
 
Tumeshaona, majanga ya radi, nyumba kuanguka, moto, vimbunga. Kuna watu wameangukiwa na miti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah, ila tuwe fair sometimes. Mtu akae kwako full time, kupiga hizo job then una mpa 80k?

Wakati waajiliwa wakizidisha masaaa mawili tu kazini, kelele nyingi, na kudai over time.

Kwa nia njema tu wazee tuweni fair kwa hawa wenzetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi naona yupo fair, kwani hiyo 80,000 shs ni ya ku save maana kila kitu anapewa kuanzia chakula, malazi, akiumwa, mafuta ya kupaka na mengineyo. Serikalini unapewa kima cha chini laki 3 ila kila kitu juu yako
 
Tumeshaona, majanga ya radi, nyumba kuanguka, moto, vimbunga. Kuna watu wameangukiwa na miti.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hayo yote hata akiwa kwao si anaweza kukutana nayo?

Hizo ni natural calamities ambazo mtu hukumbwa nazo mahali popote na hazina uhusiano kuwa ni lazima wakutane nazo wadada/wakaka wa kazi...
 
Vipi, akipata majanga. Yatayo ghalim viungo au ulemavu?? Kuna namn yeyote atapew sapoti?? Vipi, kuhusu future yake na majukum mengine ya kifamilia? Kuna mtu ameacha mwanae ili akuhudumie mwanao.

Sema tu, njaa, lakini hatupo fair kwa hao ndugu zetu. Ndio maana leo hii huwezi ruhusu binti yako akafanye kazi za ndani.

Hii haina tofauti na ile cheap labour ya kina wajeruman.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa utetezi huu lazima una demu housemaid na anakupa malalamiko hivyo ile huruma ulonayo kwake unaigeneralize bila fact wala experience bali mere emotions.
Umeshapewa vigezo vya kulipa mishahara na kila kitu but mmmhhh!
Mtafutie tu formal job huyo bibie mazee!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utateseka kubishana na mvulana anaetumia emotions zaidi bila fact na reality ya social na economic aspects.
Sasa hayo yote hata akiwa kwao si anaweza kukutana nayo?

Hizo ni natural calamities ambazo mtu hukumbwa nazo mahali popote na hazina uhusiano kuwa ni lazima wakutane nazo wadada/wakaka wa kazi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natafuta msichana wa kazi za ndani wa kukaa na mama yangu. Awe mtu mzima mwenye uwezo mzuri wa kazi. Awe tayari kulala nyumbani ninapoishi na siyo wa kwenda na kurudi.

Awe na stamina ya kudumu kwenye kazi na siyo mbabaishaji.

Mshahara Tshs 80,000 /- akifanya vizuri naweza kumwongeza baada ya muda.

Majukumu :-

1. Kupika
2. Kuosha vyombo
3. Kufua
4. Kufanya usafi wa ndani.

Mawasiliano: 0719 203 118 au njoo chamber kwa maswali zaidi.

Kipengele cha asipate Mimba hakikisha kinakuwepo katika Mkataba wako / wenu tafadhali.
 
MSHAHARA WA HOUSEGIRL
Mshahara wa housegirl ni mkubwa kushinda wa kima cha chini wa serikali kwa yafuatayo
Housegirl anaishi nyumbani kwako kula yake, pango, sabuni na mahitaji mengine yote juu yako
Piga hesabu zifuatazo
Sehemu A
1. Chai asubuhi sh 1000
2. Chakula cha mchana 2000
3. Chakula cha jioni 2000
4. Maji ya kunywa 1000
Jumla Sh. 6000 kwa mwezi 180,000
Sehemu B
5. Chumba 30,000
6. Umeme na maji 15000
7. Toiletries(sabuni nk) 10,000
8. Dharura na matibabu 20,000
Jumla sh. 75,000
Sehemu C
9. Mshahara au akiba yake ya mwezi unayompa sh. 50,000

Jumla A+B+C = Tsh 305,000
Tena hapo kwa kadirio la chini kabisa.
Mnaofikiri mahousegirl wanalipwa kidogo. Think twice

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom