chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 222
- 661
Kwakweli ukiwa hujaoa bado hujakamilika unakuwa upo nusu, duniani kuna jinsia mbili kwa maksudi kabisa, na ili maisha yaende yalivyopaswa ni lazima mwanaume aungane na mwanamke wawe kitu kimoja. sote tumeumbwa ili kutengemeana, ni kama ilivyokua ngumu kuvaa kiatu mguu moja huku mwingine upo peku, nasi tukiumbwa ili kuja kuwa pair.
Kwa dhati kabisa nami natafuta msichana wa kuoa mwenye sifa chache kwakua hakuna aliyekamilika nami pia nitaweka sifa zangu chache ili kuona ni mtu wa namna gani
1. awe bikra
2. umri miaka 18 - 22
Sifa zangu:
1. kipato 400k kwa mwezi
2. umri: miaka 25 ( naelekea 26 sasa )
3. hulka: mstaarabu na muaminifu.
NB. Kipato chetu kinakadiriwa kufikia 5M kwa mwezi kufikia 2029 na 27M kwa mwezi kufikia 2032 ( kutokana na dira ikienda sawa )
Hatakama una ndugu yako, rafiki au yeyote anayekidhi vigezo naomba uniunganishe naye.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.