Natafuta mshonaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta mshonaji

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Elizabeth Dominic, Sep 29, 2011.

 1. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #1
  Sep 29, 2011
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,545
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Salam
  Mtu mwenye ujuzi wa kushona lakini hana kazi wala maarifa tafadhali kama ndiye au unamjua yeyote naomba uwasiliane na mimi kwa PM
   
 2. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 891
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  pita pale veta utawapata wengi sana wa kike na wa kiume, biashara ikiwa nzuri nijulishe na mimi nina kifrem changu kiko wazi
   
 3. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #3
  Sep 29, 2011
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 9,994
  Likes Received: 2,176
  Trophy Points: 280
  Awe na ujuzi, lakini asiwe na maarifa ! Mkuu, una maana gani, unataka umburuze?
   
 4. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #4
  Sep 29, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,305
  Likes Received: 4,751
  Trophy Points: 280
  usiumize kichwa.nenda kwa mafundi chelehani pale mtaa wa uhuru kama unaenda buguruni pale k/koo wapo mabinti na makaka kibao.
   
 5. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #5
  Sep 29, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,587
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Haya hiyo frem kiko wapi? Nitumie message. 0757 212122
   
 6. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #6
  Sep 29, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,587
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Nahisi anatafuta machizi. Wahi muhimbili.
   
 7. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #7
  Sep 29, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,981
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  maticha wa Veta changamkieni mchongo huu kwa wanafunzi wenu.
   
 8. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #8
  Sep 29, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,774
  Likes Received: 504
  Trophy Points: 180
  una ujuzi nikuletee kitambaa?
   
 9. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #9
  Sep 30, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,351
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  workshop ya ushoni ipo wapi? unahitaji wangapi?male or female,Je ni mshahara au kwa piece work payments, ukijibu hayo utapata the right pple
   
 10. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #10
  Sep 30, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 56,884
  Likes Received: 19,417
  Trophy Points: 280
  Mimi nna ujuzi wa kushona miili ya maiti waliopasuliwa (postmortem), Jee, niku-PM? au unatafuta mshonaji wa nini? weka sawa ueleweke.
   
 11. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #11
  Sep 30, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,200
  Likes Received: 1,598
  Trophy Points: 280
  wanafunzi wangu wanaogopa mijusi!
   
 12. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #12
  Sep 30, 2011
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,545
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Namaanisha kama amekwama, nina maarifa ya kuweza kufanya kazi pamoja
   
 13. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #13
  Sep 30, 2011
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,545
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Asante nitaenda kuwafuatilia
   
 14. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #14
  Sep 30, 2011
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,545
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  Mradi anaweza kushona material zote haswa ngozi naona we utafaa
   
Loading...