Natafuta mpenzi

yaani kujiunga na kujiunga unasaka mpenzi ungetulia uangalie tu wangekutongoza wenyewe cha msingi uweke avatar nzuri ya kuvutia halafu comments zako ziwe za kimatwi ya juu hahaha fasta unapata
Kila mwenye akaunti mpya humu jf sio mgeni na yeye...!!!Wengine humu ni wakongwe kuliko hata nyinyi mnaolalamika et mimi ni mpya humu...!!!hii ni akaunti maalum ya kutaftia mpenzi baada ya wenzangu wengi kufanikiwa na kuleta mrejesho humu
 
kulalamika ni nini?hhhahah

kikiki karibu chipsi mbuzi mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom