jacobcm8 Senior Member Joined Apr 10, 2014 Posts 173 Reaction score 127 Mar 28, 2018 #1 Mwenye hii modemu anitafute kwa ajili ya kuniuzia, iwe hivi hivi AIRCEL... Au mwenye kujua wapi nitapata msaada tafadhali...
Mwenye hii modemu anitafute kwa ajili ya kuniuzia, iwe hivi hivi AIRCEL... Au mwenye kujua wapi nitapata msaada tafadhali...
T thetruthtobetold JF-Expert Member Joined Jan 17, 2018 Posts 509 Reaction score 561 Mar 28, 2018 #2 ushirikina huu
dlnobby JF-Expert Member Joined Jul 30, 2014 Posts 2,513 Reaction score 3,350 Mar 28, 2018 #3 Mmmh mambo ya walawi hayaaa....
Nichumu Nibebike JF-Expert Member Joined Aug 28, 2016 Posts 8,658 Reaction score 15,814 Mar 28, 2018 #4 Ndo umeagizwa na mganga wako? Hiyo ina tofauti gan na modem zingine?
tutafikatu JF-Expert Member Joined Dec 17, 2011 Posts 3,437 Reaction score 4,791 Mar 28, 2018 #5 Waagize watu waliopo India
B baba glory JF-Expert Member Joined Jan 22, 2016 Posts 292 Reaction score 213 Mar 28, 2018 #6 Nichumu Nibebike said: Ndo umeagizwa na mganga wako? Hiyo ina tofauti gan na modem zingine? Click to expand... Huyu anataka universal modem sema anazunguka tu hapa
Nichumu Nibebike said: Ndo umeagizwa na mganga wako? Hiyo ina tofauti gan na modem zingine? Click to expand... Huyu anataka universal modem sema anazunguka tu hapa