Natafuta mlinzi mshahara wake ni kumbonji tu usiku

Natafuta mlinzi mshahara wake ni kumbonji tu usiku

Desierto

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
910
Reaction score
3,143
Ukweli tokea nihamie mjini Arusha changamoto haziishi kila hatua, nimepata sehemu ya kazi zangu za ufundi ila hili eneo usalama wake kwa usiku ni zero.

Sasa hii imenifanya nilisahhau kabisa joto la mke wangu kwa usiku.

Vitu vilivyomo ofisini ni vifaa vyangu vya kazi kama computer rewok station spika 2 za mziki na vifaa vya watu vilivo letwa kutibiwa.

Sasa kama wewe upo arusha moshono na sehemu ya kulala ni changamoto kwako nitafute,
uje na utambulisho wa kueleweka.

Tahadhari! nisijekumlaza fisi nyumba moja na mbuzi
 
Back
Top Bottom