kuna tofauti gani kutafutia facebook na kutafutia jamiiforums?Nenda facebook.
Hakuna mke hapa
^^
Kuna wachumba tu, juhudi zako tu ndizo zinaweza kumgeuza kuwa mke!
^^
weka picha yako
Huku kuna wa fasta tu lakin si wakuweka kambi,..loading error..
nipo serious sana.Toa no ya cm kuna mke nataka nikupatie ila uwe serious na hili jambo
kaZi na kipato pliz...muonekano je?
una hela wewe ya kumudu timbwili la mke!