Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,237
- 101,650
Mwaka jana hiyo, vipi una taka kuwa rafiki yangu 2026?Mh jaman mbona umenikomaliaš«š«
Mwaka jana hiyo, vipi una taka kuwa rafiki yangu 2026?Mh jaman mbona umenikomaliaš«š«
Heri ya mwaka mpya rafiki yanguš¤£š¤Mwaka jana hiyo, vipi una taka kuwa rafiki yangu 2026?
Miaka 45 ni Umri wa kustaafu jeshini.Umri wangu ni miaka 45
Kazi biashara ndogondogo
Dini mkristo
Makazi Dar
Sifa za mke kuanzia miaka 30-42
Dini yoyote
Karibu
Asante Sana rafiki mpya, ole wako uni gaye šHeri ya mwaka mpya rafiki yanguš¤£š¤
Bado sanaMiaka 45 ni Umri wa kustaafu jeshini.
Usiseme hivi mkuu maneno huumbaUmri wangu ni miaka 45
Kazi biashara ndogondogo
Dini mkristo
Makazi Dar
Sifa za mke kuanzia miaka 30-42
Dini yoyote
Karibu
Yakikukuta utakuja.inaonekana hapakuhusu umevamiaTafuta wasimbe na wanaojiuza hapo dar! Humu jf ni kwa wenye akili timamu na familia zao.
Kwani wanalazimishwa?akiona anataka hela akatafute zakeUsiseme hivi mkuu maneno huumba
Ukijitamkia biashara yako ni ndogondogo itakuwa hivyo always
Anyway pisi za Jf zinataka hela mkuu kajitafute kwanza
Thou sikukatishi tamaa Mungu akupe hitaji la moyo wako