Ohoo ata kazi sio zote utaomba kwa kufata vigezo🤣😆😆Vigezo na masharti kuzingatiwa
Watu mnatembea na fursa😂Hakija haribika kitu,
Nicheki PM ule mema ya nchi.
Hebu nisaidie kupiga domo ili upate wifi basi.Watu mnatembea na fursa😂
Subiri akija nakupambania mkuu😅Hebu nisaidie kupiga domo ili upate wifi basi.
Safi kabisa,kwenye harusi lazima nikupe cheo cha kusimamia upande wa vinywaji.Subiri akija nakupambania mkuu😅
Oyaaah utakuwa umeweza😍 mgawa vinywaji ntayumba kuzidi waalikwa😁Safi kabisa,kwenye harusi lazima nikupe cheo cha kusimamia upande wa vinywaji.
Barid ndo mi hupendaKama utaweza kustahamili baridi la mabarafu karibu sana.
We unataka mi niangukie pua,, ushauri wako sio🙌🏾Ohoo ata kazi sio zote utaomba kwa kufata vigezo🤣
Basi nikuoe mimi tuHapana,,sasa umri huo mi sijafika npo chini ya io 30 huoni nakosa mume apo
We hauko seriousBasi nikuoe mimi tu
Kwa nini au mpaka nianzishe uzi?We hauko serious
Hapana huwezi kuangukia pua ndugu zako tukiwa hapa! Basi kavp muangalie ata kaka The icebreaker wiii🙄We unataka mi niangukie pua,, ushauri wako sio🙌🏾
Tafuta wasimbe na wanaojiuza hapo dar! Humu jf ni kwa wenye akili timamu na familia zao.
Huyo uliyemtag sio mimi,huyo aliiga tu ID yangu,mimi ni The IcebreakerHapana huwezi kuangukia pua ndugu zako tukiwa hapa! Basi kavp muangalie ata kaka The ice breaker wiii🙄
We mwenzangu ushapata!?,,man ulivo bize kunitafutia mim😂Hapana huwezi kuangukia pua ndugu zako tukiwa hapa! Basi kavp muangalie ata kaka The ice breaker wiii🙄
😂😂😂😂😂😂🙌🏾🙌🏾🙌🏾Mi wangu nakujua usijitetee sanaHuyo uliyemtag sio mimi,huyo aliiga tu ID yangu,mimi ni The Icebreaker