Bro meaningBro SweetyCandy unahisi kwann? .
mimi sioniJamani mbna wanaonekana, mmmh
Duuh bas sawamimi sioni
Yaani daktari aje kutafuta mke huku? Pumbav kwl.Habari wakuu,natafuta mwanamke umri kuanzia 28 mpk 35 asiwe na mtoto maana silei mbegu ya mtu kazi yangu ni daktari(MD)kwenye moja ya hospitali za rufaa hapa Dar alie interested aje inbox.ahsanteni
Huyo hajui ht maana ya daktariMadem wakali wapo hao intern doctor jishindie mmoja
Ahsantee, ππHongera hongera π
Mzamie PM mjukuu. Kwa rangi yako ya mtume na ushua + BSc Engineering MD haki ya nani hachomoi! ππππππ ila gran pah.
Nimeshangaa pia, MD kakosa hata she 1 wa kumuoa, ina maana ktk cycle yake hakuna kabisa chaguo lake. Mmmh
Pisi zipo, labda yeye anataka sifa na vigezo vingi, Lol
Gran pah, niko nje ya umri.Mzamie PM mjukuu. Kwa rangi yako ya mtume na ushua + BSc Engineering MD haki ya nani hachomoi! π
Ma MD nadhani shida yao inaeleweka...jiripue tu bana! πGran pah, niko nje ya umri.
Nina β ya kupendwa na ma Dr, ila nawaogopa, sijui kwann.
πππππ.
Nenda KONEXON ukajichagulie Dr.Habari wakuu,natafuta mwanamke umri kuanzia 28 mpk 35 asiwe na mtoto maana silei mbegu ya mtu kazi yangu ni daktari(MD)kwenye moja ya hospitali za rufaa hapa Dar alie interested aje inbox.ahsanteni
ππππ nisanue wana shida ipi? Mie nawaona km wako so emotional, sitawezana nao, nna heka heka mie.Ma MD nadhani shida yao inaeleweka...jiripue tu bana! π
Yuko wapi huyu, mbona hajibu pm
πAhsantee, ππ
Mzee mwenzao anawaita!
Daktar kawachoka wagonjwa!!..Umri, unaniweka nje kabisa.
Nshakosa fursaa, kwan daktaree kakosa hata mgonjwa mmoko wa kumuoa? Lol
ππππ atafute ma nurse hapo kazini kwake.Daktar kawachoka wagonjwa!!..
Anataka wazima sasahivi,