Natafuta mke wa pili

Natafuta mke wa pili

Nikifika 35 inshaAllah nataka niwe nishakamilisha wa4
Dogo kumbe unasumbuliwa na mihemko ya kingono??
Kwa taarifa yako huyo mtume aliyeshushiwa hicho kitabu ilikuwa ni mbinu ya kibiashara tu ili atackle market ya wazungu(washenzi) waliomtangulia!
Ishi kulingana na nafsi yako si kimatamanio!!
Upuuzi upuuzi tu unakusumbua na hicho kibolo dinda chako kitakuua kwa maradhi!
 
Sijakielewa kabisa ulichokiandika mkuu naona umepaniki tu
 
Sijakielewa kabisa ulichokiandika mkuu naona umepaniki tu
Nipanic kwani mi ndo nilianika mimihemko ya kipuuzi kisa mkeo kaingia hedhi na dini yako inakubana kufanya nae tendo ndani ya siku zake ndo maana unahangaika kutafuta mke wa pili? what if siku zake zikawa sawa na mkeo ulienae?

Nyie wasunni ni watu wapuuzi sana na mnaishi na wake zenu kwa vitisho just b'se they know nothing about islamic belief.
 
Dogo kumbe unasumbuliwa na mihemko ya kingono??
Kwa taarifa yako huyo mtume aliyeshushiwa hicho kitabu ilikuwa ni mbinu ya kibiashara tu ili atackle market ya wazungu(washenzi) waliomtangulia!
Ishi kulingana na nafsi yako si kimatamanio!!
Upuuzi upuuzi tu unakusumbua na hicho kibolo dinda chako kitakuua kwa maradhi!
 
Ha ha wewe itabidi nikualike nyumbani kwangu nikishawakamilisha wote wa4 uje uone ninavyoenjoy
Dogo hapo hakuna cha enjoyment zaidi ya kuwaumiza wanao watakaozaliwa!

Zingatia uhalisia mdogo wangu usikurupuke kisa dini inaruhusu.
Binafsi nimezaliwa christian but i live in ma own principle!
Na sijawahi kupuuzia imani niliyojijengea mwenyewe na ndiyo inayonifanya niishi leo hii.
 
Mpendwa,hebu tumegee sheria ya kutafuta mke katika uislamu ili nami nipate faida?

BTW,Allah ndiye mjuzi wa yaliyo katika vifua vya waja wake,usimhukumu mwenzako kwa kumuita 'huni'au 'dude' kwa kuwa ametafuta mke jf,huenda hapa jf ndo alokadiriwa kumpata bi mdogo. Hii ni sehemu kama zilivyo sehemu nyingine ambapo watu hukutana. Wapo wazuri na wabaya.
Sensible lady!
 
Mke wako wakwanza kapungua nini maana hukawii kuongeza wa tatu na wanne wewe,au unamtafutia kupigwa majini mwali mpya mjini hapa?
 
Changamoto unazoziona wewe leo co ngeni hata ,zama hizo zilikuwepo na tayari kitabu kilishazungumzia,na kwa kukuweka clear kitabu "hakijaagiza" but Allah ndo alitoa ruhisa nami nimeamua kuitumia ruhusa hiyo kuepukana na uzinzi
Kazi unayo kaka na hasa huyo mkeo wa kwanza kama uwezo wenyewe wa kufikiri ndio huu?maana wenzio wanaokwambia changamoto unafikiri za kuwalisha tu?hawa watoto watakaokuja ushawaza watasomaje?au ndio watasomeshwa na wajomba zao ukimchoka mama yao,?
 
Nenda la imam kwa msikiti inaoswali,atakusaidia hili vizuri sana,kuhangaika huku kwenye mitandao sioni kama ni sahihi kwa mwislam safi
Walioko misikitini ndio hawa hawa walioko mitandaoni watu ni hawa hawa mkuu
 
Bila shaka wewe ni miongoni wa wale wa upande ule ambao hufunga pingu na mke m1 na kuwa na vimada 6 bila kujali kuvunja amri ya 6.
Dini na kitabu changu kimetoa ruksa hiyo kwa kuzingatia manufaa yake ambayo ni mengi sana kuliko madhara

Idadi ya wanawake duniani ni zaidi ya nusu ya idadi ya wanaume duniani so iwapo kila m1 ataoa wanawake wa4 hutaskia malaya unaoenda kuwanunua buguruni wakiendelea na biashara ile

Dini yetu inazingatia sana sheria,mtu aliyeoa kisha akazini adhabu yake huwa ni kupigwa mawe hadi kufa na hapo unaweza kuona ni namna gani suala la uzinzi linavyochukuliwa kiuzito tofauti na upande wenu.

Kwa maana hiyo ndo mana unaona tunasisitizana kuwaoa wanawake na kuishi nao kihalali na kutowatenga wajane na walioachika ili kuwaepusha na uzinifu.

Kuhusu suala la mirathi naweza kukuambia katika dunia hii hakuna sheria ya mirathi iliyo nzuri kama iliyoandikwa katika Quran ndo mana hata sheria ya mirathi ya tz na nchi nyinginezo imekopi vipengele vingi kutoka huko

Karibu sana upande wetu uinjoy hii fursa utoke huko jela ulikofungwa pingu unaibiaibia tu kutongoza watoto wa shule,
We oa bana kelele za nini?upande upi au upi unahusiananini na mke wa pili?haya kaoe ,
 
Huyo uliye nae Ana mapungufu gani?? Kwanini wataka kuoa mwingine!?? Tamaa?? Au nini?? Au sababu dini imesema wa4 basi nawe waamua kuoa tu
 
Kisima kwani unataka kuolewa wewe?
Mbona umemganda mkaka wa watu utasema amekushika tako,
Mfyuuuuuuuu
 
Kazi unayo kaka na hasa huyo mkeo wa kwanza kama uwezo wenyewe wa kufikiri ndio huu?maana wenzio wanaokwambia changamoto unafikiri za kuwalisha tu?hawa watoto watakaokuja ushawaza watasomaje?au ndio watasomeshwa na wajomba zao ukimchoka mama yao,?

Usidhani kila mtu ni kapuku kama wewe,
Kama wewe bado unalala kwa shemeji mwenzio ana maisha yake tayari.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom