PM ni wapi, sina nauli dearTwende PM
Wanga kama nyie huwa hamkosekaniPM ni wapi, sina nauli dear
Hili dude huni tu nilitaka kutia hamna lolote lol
Private messagePM ni wapi, sina nauli dear
Suala la uchamungu ni siri baina ya Allah na mja wake,hata ukinishutumu vibaya huna utakachokipata zaidi ya dhambi ya kudhaniYanajifanyanga inshallah , naam, hamna lolote ustaadhi dege
Huwa hamkosekani watu kama ninyiHili dude huni tu nilitaka kutia hamna lolote lol
Aaah sawaPrivate message
Asante kwa ushauri wakoNenda la imam kwa msikiti inaoswali,atakusaidia hili vizuri sana,kuhangaika huku kwenye mitandao sioni kama ni sahihi kwa mwislam safi
Kwa hiyo una maana jf ni genge la wahuni kwa sababu wewe ni muhuni? Kwa taarifa yako humu kuna watu wenye akili zao na dini zao wanaoweza kukutana na kuunga udugu,if u think that is not possible ask yourself unafanya nn humu?Mcha mungu gani anatafuta mke jf forum then anataka kuoa kwa siri?. Nyege tu hizo mzee . You are trying to fool ppl. I hope in jf there are no stupid ladies who can easily be fooled. Unajua sheria ya kutafuta mke ktk uislam? Acha hizo bana
Kiislamu ili ndoa ipite inapaswa kuwepo na muoaji,muolewaji na mawalii zake na mfungishaji ndoa (sheikh) na mashaidi wawili watatu,ninaposema ya siri namaanisha baada ya hapo sitataka sherehe ya ukumbini au nawe unataka mualiko wa pilau?Soma sentence vizuri. Kuoa kwa siri? Unajua maana ya ndoa na condition zake?
Siwezi kuachana na imani ya dini coz dini ndo mfumo wangu wa maisha..yaani kila kitu nikifanyacho reference yangu huwa ni katika Quran & sunna. ..na ninaamini Allah ndo mpangaji wa kila kitu na yeye ndo aliyeruhusu kuoa mpaka wanawake wa4 kwa hikma zake,hivyo siwezi kuwa na wasi wasi coz ninaamini yy ndo atakayewalindaUnaweza ukaelezea sababu kuu iliyokusukuma kuongeza mke wa pili (ukiachana na imani ya dini)? na huoni kuwa unawatengenezea mazingira magumu wanao hapo baadae baada ya wewe kutoweka duniani?
Sikua na maana hiyo...Lool. Mie nilidhani hutaki watu wajue. Maana siri ni kuficha kitu.ila ungesema sitaki sherehe ningeelewa
Kwa hiyo mkuu unaongeza mke kisa "kitabu" kimeagiza pasipo kuangalia changamoto za dunia ya leo?!Siwezi kuachana na imani ya dini coz dini ndo mfumo wangu wa maisha..yaani kila kitu nikifanyacho reference yangu huwa ni katika Quran & sunna. ..na ninaamini Allah ndo mpangaji wa kila kitu na yeye ndo aliyeruhusu kuoa mpaka wanawake wa4 kwa hikma zake,hivyo siwezi kuwa na wasi wasi coz ninaamini yy ndo atakayewalinda