Umeona eee!!
Katoto kadogo kanajifanya kijogoo kumbe uzinzi mtupu!
Hili blanket la dini lishapoteza viumbe wengi sana hasa hawa wavaa vipedo!!
Jamaa katanabaisha kuwa yeye ni msuni na pengine yupo Dar es Salaam hii yenye joto la HATARI na mkewe kutwa nzima alivaa full NINJA kuanzia miguuni hadi kichwani gubigubi zaidi ya marehemu!! ivi kikawaida demu kama huyu atakuwa na mzuka wa kunjunja zaidi ya masaa matatu kama sio unyanyasaji??
Wanaumme tusihemke kisa dini zinaruhusu, tuwaheshimu wake zetu hasa inapotokea kuwa mahtaji yetu yanahusisha hisia zetu kulingana na mazingira!