Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 19,711
- 62,651
Aachane na kuoa afanye mambo mengine ya msingi,. miaka 8 mingi mnoo saizi angeshakuwa na mgodi wake kama angekua serious😂Msaidie kutafuta mke jamaa na akili itulie anahangaika toka 2017 mpaka leo hajapata mpaka na jina lake anaanza kusahau 😁😁