Natafuta mke wa kuoa seriously 20-25

Kwahiyo hii ndio style mpya ya utongozaji!
Mtaani kwenu, unakotembea, kwenye mishe zako kote hujaona?, umekuja kutafuta kitonga huku
Inasikitisha sana
 
Yaani mtumishi wa umma huko mtaani kwenu hujaona mwanamke wa kuoa uje umtafute JF? Hapa hakuna kama wewe ni domo zege shauri yako! Hapa utakutana na ma Miss Natafuta ndiyo utaju

Mbona atapata
Mbona wapo
Kwani kuna ubaya gani?
Hata Mimi nilipata ,sio Mimi Tu wengi Tu wanapata
Ndio jamn mm npo serious nahitaji
 
Ulizaliwa huko kwenu, ukasoma ngazi za elimu kuanzia Primary mpaka Ulipofikia, ukaitwa interview umeajiliwa kote huko haujakutana na wa kuoa? Anyway mke mwema utampata popote kutokana na miongozo yako na roho wako Mt.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…