Mbona atapataEti kanatafuta mke mtandaoni? Kapumbavu haka!
Yaani mtumishi wa umma huko mtaani kwenu hujaona mwanamke wa kuoa uje umtafute JF? Hapa hakuna kama wewe ni domo zege shauri yako! Hapa utakutana na ma Miss Natafuta ndiyo utaju
Ndio jamn mm npo serious nahitajiMbona atapata
Mbona wapo
Kwani kuna ubaya gani?
Hata Mimi nilipata ,sio Mimi Tu wengi Tu wanapata
Mnahitaji uvumilivu sana! Hao wanaume wenu watakuwa wanawavumilia sana!Mbona atapata
Mbona wapo
Kwani kuna ubaya gani?
Hata Mimi nilipata ,sio Mimi Tu wengi Tu wanapata