Natafuta mke wa kumuoa, niko serious

Natafuta mke wa kumuoa, niko serious

Km huyu si anakufaa mkuu?
FB_IMG_17520940993147673.jpg
 
Unataka kuoa au kupiga?
Kwanini lazima awe Dar ni mlima kwamba haami, na udini wa nini mnaenda kufungua kanisa?
Na hiyo Diploma mnaenda kufanyia nini huko ndoani?
Kuoa dini pia ni kitu cha muhimu zaidi maan ni cha kimani... Elimu inasaidia
 
Habari

Mimi ni kijana mwenye miaka 32
Sifa zangu
Rangi:Mweusi
Kimo:1.70ft Mrefu wastani
Elimu: Bachelors degree ya computer Engineering
Kazi: IT consultants
Mkoa kuzaliwa : Arusha
Kuishi Dar
Dini : mkristo

Mwanamke sifa zake
1.Asiwe mfupi sana
2.Awe mkristo muislam sawa ila awe tayari kubadili dini.
Elimu Angalau aanze na diploma
Umri usizidi 28
Kigezo cha muhimu kabisa ni lazima awe Anaishi Dar
Awe na muonekano kiasi

Kama una vigezo hivi karibu.

Lengo langu ni ndoa.
Kimo: 1.70ft ???

Huu urefu mkuu ina maana wewe ni mfupi kuliko kibwengo?
1000078830.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom