Sema hiviii:Wasalam,
Habari hum,natafuta mke wakuishi naye sichagui sibagui yoyote sawa
kigezo:uwe umeajiliwa(mimi bado nasoma)
umri:wowote(mimi 22)
Ntakupenda na kukulinda kama mboni ya jicho langu mwaaah!
hali ngum mtaaniSikushauri kwa umri iwo uoe dogo itakula kwako tafuta kwanza pesa..
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
msingi kiuno dingiUnatafuta mtu wa kukulea et 😂😂😂 kijana fanya kazi wew 😂😂😂