Natafuta mke umri miaka 35 - 40

Nimekaza wapi mkuu hawanitaki si unaelewa sura za baba tena😒
Sasa hivi vijana hatutafuti tu sura nzuri au Pisi Kali, tunatafuta mwanamke mwenye sifa za kuwa mke na kujenga naye maisha. Pisi Kali ni starehe za ujana, lakini ndoa inahitaji zaidi ya uzuri wa nje. Inahitaji upendo, heshima, uelewa na maadili. Ila wewe inaonekana una vigezo vingi sana! 😅
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…