Natafuta mke umri miaka 35 - 40

Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo ,awe na Umri wa miaka 35 mpaka 40, mcha Mungu anayesali Pentekoste ,pia awe na changamoto ya Kisukari .ninamaana yangu kubwa sana , sihitaji maswali au dhihaka kwa maombi yangu haya . Asante sana .
Na ushuuda Wenye pumu wanaheshima na upendo sana mkuu ..usiku akikunyima gem unawasha fen speed ya kimondo......
 
Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo ,awe na Umri wa miaka 35 mpaka 40, mcha Mungu anayesali Pentekoste ,pia awe na changamoto ya Kisukari .ninamaana yangu kubwa sana , sihitaji maswali au dhihaka kwa maombi yangu haya . Asante sana .
Hapo unatafuta mshangazi au mke?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…