BIMBILISAMAJI
JF-Expert Member
- Dec 11, 2013
- 291
- 58
Acha uongo wewe DAWA unayo kivipi?..Ukimwi hauna dawa acha kudanganya watu wewe utakuwa unatibu secondary infections tu kama T.B, Kuharisha n.k na yule kilaza aliyesema kufa mwenyewe kakosea sana naomba huko aliko ateme mate chini..Mungu amsamehe bure!
Pole sana, hayo ni majaribu tu, je mkeo alipima akakutwa -ve?, ni-PM dawa ninayo.