Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,871
- 32,687
Kufa mwenyewe ebu.
Wewe ni sifa ya kuropoka ama? Mwenzako tayari ana tatizo badala ya kumpa moyo na kumtia nguvu wewe ndio unamjibu hivyo?
Kumbuka kabla hujafa hujaumbika, nakushauri ukapime wewe na mwenza wako kabla ya kutoa haya maneno.