Natafuta mke mwenye VVU

Natafuta mke mwenye VVU

Tena watu kama nyie mungu anawapenda sana kwa kuwa hujapima basi naamini hujijui na kwa kuwa hujijui naomba ukapime then ulete majibu hapa tukubaliane na wewe kwamba hutokufa milele, tahadhari nyie ndio mkikutwa nao hata arv zinagoma pu.mb.a.vu mkubwa.
Kufa mwenyewe ebu.
 
Mi nikafikiri unatafuta mwenye Vima Vikali Usipime!

Kumbe sivyo??
 
Hahahhaaaa heheeeeheee hihiiiiii!!! Umem-du kisaikolojilia!

Tena watu kama nyie mungu anawapenda sana kwa kuwa hujapima basi naamini hujijui na kwa kuwa hujijui naomba ukapime then ulete majibu hapa tukubaliane na wewe kwamba hutokufa milele, tahadhari nyie ndio mkikutwa nao hata arv zinagoma pu.mb.a.vu mkubwa.
 
Kufa mwenyewe ebu.
Nani kakwambia kuwa na vvu yake, tafsiri yake ni kutangulia kufa?!
Unaweza ukatangulia wewe kufa ambaye ni HIV negative, ukamwacha ambaye ni HIV positive, anaendelea kudunda, miaka na miaka.

Wanaotumia jukwaa hili wanapaswa wawe makini kwa kuchunga ndimi zao, huyu jamaa amekuja kwa nia njema kabisa ya kumtafuta mwenza ambaye ni HIV positive mwenzake, tunachopaswa kufanya wanajukwaa wengine ni kumuencourage, na kumpa matumaini kuwa umapokuwa HIV positive siyo maana yake ni kifo, maisha yataendelea hata kwa miaka mingi sana.

Nawasihi wadada ambao mko HIV positive, pokeeni offer hiyo aliyowapa huyo jamaa, ili naye apate mwenza na maisha yapate kuendelea.
 
I know someone, she is a nurse working in a Pharmacy, she is young and cute, shall I hook u up?
 
Mbona Kijava kasepa hajibu hata comment moja?

:focus:

Ngoma siku hizi haitishi,kuna mama nlimuona anahojiwa Star TV alisema kwamba yeye aligundua ana VVU mwaka 1995 lakini mpaka sasa yupo fit,kwahyo kuwa na VVU sio swala la kukata tamaa.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom