Natafuta mke mwenye VVU

Natafuta mke mwenye VVU

Mtoa mada vipi bwana.mbona hauji kutupa mrejsho umekaa kimyaa.kama sio wewe vile.
 
Kufa mwenyewe ebu.

Hivi wewe mpuuzi nini??una akili kweli au matope ?? Unauakika ngani wewe ni mzima ?? Humu ndani kuna watu weu sana .huwezi kusema maneno kama mweu .umenichafua sana wewe mjinga uwezi kusema maneno kama hayo ??badala ya kumtia moyo unazungumza upuuzi .kumshauli unazungumza ushenzi .tena nakusifu sana mkuu .mungu akutia nguvu na moyo huo mzuri na kuwa mkweli kumtafuta mwenzi wako ili muishi naye .kuna post ilikuwepo kuna mdada moja alitoa anatafuta mume mwenye VVU .check post za nyuma .mungu akubariki sana na kuwa VVU cyo mwisho wa maisha mkuu.
 
Tambua vvu haipatikan kwa njia moja tu ya kufanya mapenzi kwan ajionaye mzma leo ndo mgonjwa wa kesho......
 
Kuna uzi unaelezea elizabet wa shinyanga hebu utafute maana CV yake ınatisha atakufaa sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom