Natafuta mke mwenye vigezo hivi

HUWEZI PATA MKE ULISHACHEZEA UJANA WAKO SASA SUBIRI FAINALI UZEENI,NA UKIOA TUU LAZIMA TUKUMEGEE WAJANJA
Unajiita mjanja kwa kumega mke wa mwingine! Endelea na hako ka tabia kama utamaliza mwaka huu nyambafu!
Weye unayetafuta mke, nafikiri umekosea njia, humu kama unataka bidhaa zingine tu utapata, mke hatafutwi hivyo! Fungua macho na ufahamu wako, utashangaa mke anayekufaa yupo hapohapo unapofanyia kazi, au ni jilani yako au mnasali wote kanisani, au… au huwa unapishana naye kwenye daladala ! Umejiita mkristo, basi unapaswa jua mke mwema hutoka kwa Bwana hatoki jamii forum, piga goti umuombe mwenye kiwanda cha wake wema. Humu labda kama unatafuta misukule! Hayo tu!
 
ASANTE SANA KWA USHAURI!!!!!!!
 
Mimi umri wangu ni miaka 40. Nilikuwa masomoni nje ya nchi. Natafuta mke.
Niliwahi kuwa na mahusiano na nina watoto wawili na ninawapenda sana.

Dini yangu mkristo. Mke awe mkristo. Umri wa mke kuanzia 25 ila umbile liwe la ki utu uzima!

Aliye tayari aniPM.
JAMANI KUMBUKENI KUWA ALIYE TAYARI BAADA YA KUWASILIANA,LAZIMA TUONANE USO KWA USO KWA AJILI YA KUPANGA MAMBO YATAKAYOFUATA!!!
 
Mimi umri wangu ni miaka 40. Nilikuwa masomoni nje ya nchi. Natafuta mke.
Niliwahi kuwa na mahusiano na nina watoto wawili na ninawapenda sana.

Dini yangu mkristo. Mke awe mkristo. Umri wa mke kuanzia 25 ila umbile liwe la ki utu uzima!

Aliye tayari aniPM.
KINA DADA MNAO-NIPM NAOMBA MJIKITE ZAIDI KWENYE OMBI LANGU TU!
 
BADO NAENDELEA KUAMINI KUWA HATA INGAWA BADO SIJAPATA WIFE TO BE(MKE MTARAJIWA) IKO SIKU NITAPATA.MREJESHO NI KWAMBA KILA NINAYEMPATA ANADAI ANA KAZI YA KUDUMU TENA MIKOA YA PWANI KWA HIYO UNAKUTA INAKUWA NGUMU KUANZISHA BOND!JAMANI TUSIDANGANYANE MAISHA YA NDOA MUNGU ALIKUSUDIA MUME NA MKE WAISHI PAMOJA.NA NDIYO MAANA YA NDOA!!!!
Wale wa maeneo ya Pwani nawaomba tuwasiliane... nina umri na kazi kama ya jamaa tofauti mi niko sekta binafsi, nina mtoto mmoja ambaye yupo kwa ***** hivyo mi hutuma pesa tu za malezi na nahitaji wa miaka 25 mpaka 30.. ni pm kwa aliye serious? Niko mkoa wa pwani ingawa napokea mpaka Dar.
 
Unajiita mjanja kwa kumega mke wa mwingine! Endelea na hako ka tabia kama utamaliza mwaka huu nyambafu!
Weye unayetafuta mke, nafikiri umekosea njia, humu kama unataka bidhaa zingine tu utapata, mke hatafutwi hivyo! Fungua macho na ufahamu wako, utashangaa mke anayekufaa yupo hapohapo unapofanyia kazi, au ni jilani yako au mnasali wote kanisani, au… au huwa unapishana naye kwenye daladala ! Umejiita mkristo, basi unapaswa jua mke mwema hutoka kwa Bwana hatoki jamii forum, piga goti umuombe mwenye kiwanda cha wake wema. Humu labda kama unatafuta misukule! Hayo tu!
Mke mwema hutoka kwa bwana... lakini bwana yuko popote.. soma tangazo ukiona huendani nalo potezea kimya kimya, acha tabia ya kuisemea mioyo ya wengine.
 
Hapana sijasemea mioyo ya wengine, pole kama unahisi kusemewa! Hapa hata hivyo huyo sio bwana wako nayeongelea ni Bwana anayetambulishwa kwa kuanza na herufi kubwa, hivyo ni wazi huwezi jua protokali zinazohusika! Ndio maana hukunielewa, kama unaweza kujisoma mwenyewe ni wazi huendani nalo na hivyo ungepotezea kimyakimya kwa maana halikuhusu! Hata hivyo nikusihi umjue huyo Bwana anayetoa mke mwema (Mithali 19:14) ili usiwe mdandia gari moshi kwa mbele!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom