Natafuta mke mwenye vigezo hivi

Mkuu nasema hivyo kwani ana zaidi ya miaka 32 na aliachika kwa sababu hazai,ila ni mrembo kweli
 
Umepata
7efa3ac63caf746e624043bf25423461.jpg
 
Mimi umri wangu ni miaka 40. Nilikuwa masomoni nje ya nchi. Natafuta mke.
Niliwahi kuwa na mahusiano na nina watoto wawili na ninawapenda sana.

Dini yangu mkristo. Mke awe mkristo. Umri wa mke kuanzia 25 ila umbile liwe la ki utu uzima!

Aliye tayari aniPM.
HUWEZI PATA MKE ULISHACHEZEA UJANA WAKO SASA SUBIRI FAINALI UZEENI,NA UKIOA TUU LAZIMA TUKUMEGEE WAJANJA
 
SIYO DHARAU!!!UNAPOONA MTU MZIMA KAMA MIMI NIMEWEKA POST YA KUTAFUTA MKE MTARAJIWA NI JAMBO ZITO NA SITANII MAANA NINANACHOKIFANYA HAPA NAKIELEWA.SASA KAMA HUNA JAMBO LA BUSARA LA KUCHANGIA UNAWEZA KUSOMA NA KISHA KUKAA KIMYA!!!
Mkuu hapa utadoda
Subiri Radio one Jumapili ya mwisho wa mwezi ni kutafuta wqchumbq na ni kuanzia saa 5 usiku
 
BADO NAENDELEA KUAMINI KUWA HATA INGAWA BADO SIJAPATA WIFE TO BE(MKE MTARAJIWA) IKO SIKU NITAPATA.MREJESHO NI KWAMBA KILA NINAYEMPATA ANADAI ANA KAZI YA KUDUMU TENA MIKOA YA PWANI KWA HIYO UNAKUTA INAKUWA NGUMU KUANZISHA BOND!JAMANI TUSIDANGANYANE MAISHA YA NDOA MUNGU ALIKUSUDIA MUME NA MKE WAISHI PAMOJA.NA NDIYO MAANA YA NDOA!!!!

Acha ujinga unatafuta mke kwanza halafu mnatafuta uhamisho.
 
ASANTE KWA USHAURI HUU AMBAO UNAONYESHA UKOMO WA KUFIKIRI KWAKO!!!

Ukomo? huwezi pata kila kitu kama unavyotaka utapata baadhi vingine unatafuta suluhisho. Dunia ya leo unapata mke kisa ana ajira ya kudumu mahali ni kikwazo? kweli uko serious! Uhamisho upo nje nje, hata akihamia wilaya ya jirani mnanunua gari mambo yanaendelea.
 
Acha ujinga unatafuta mkenkwnza halafu mnatafuta uhamisho.
KUKUSAIDIA NI KWAMBA MIMI NIKO SERIKALINI NA HICHO UNACHOSEMA NINAKIFAHAMU.KWA SASA UHAMISHO SI RAHISI KAMA UNAVYOFIKIRIA!!MTU WA KWANZA NILIYEMCHUMBIA ALIKUWA MWALIMU,UHAMISHO ULISUMBUA MPAKA NIKA GIVE-UP(NIKAAMUA KUSITISHA MAHUSIANO)!NILIUMIA SANA KWA KUWA NILIMPENDA.SASA SITAKI KUUMIA TENA!!!!!
 
Ukomo? huwezi pata kila kitu kama unavyotaka utapata baadhi vingine unatafuta suluhisho. Dunia ya leo unapata mke kisa ana ajira ya kudumu mahali ni kikwazo? kweli uko serious! Uhamisho upo nje nje, hata akihamia wilaya ya jirani mnanunua gari mambo yanaendelea.
Si kwamba ninakubishia,lakini suala la uhamisho sasa hivi ni MTIHANI!!!MIMI NINASEMA HIVI KWA SABABU NINAJUA.ZIKO AJIRA MFANO ZA UALIMU UHAMISHO MPAKA UPATE MTU WA KUBADILISHANA VINGINEVYO HAKUNA JINSI.RAFIKI ZANGU 10,NINAO HAPA WAMEJIKUTA WAKE ZAO WAMEKWAMISHWA NA UHAMISHO.SASA NDOA ZIMEBAKIA KWENYE FACEBOOK,MITANDAO,SIMU NA BARUA BASI.KITU AMBACHO KWANGU NI NGUMU!!
 
KUKUSAIDIA NI KWAMBA MIMI NIKO SERIKALINI NA HICHO UNACHOSEMA NINAKIFAHAMU.KWA SASA UHAMISHO SI RAHISI KAMA UNAVYOFIKIRIA!!MTU WA KWANZA NILIYEMCHUMBIA ALIKUWA MWALIMU,UHAMISHO ULISUMBUA MPAKA NIKA GIVE-UP(NIKAAMUA KUSITISHA MAHUSIANO)!NILIUMIA SANA KWA KUWA NILIMPENDA.SASA SITAKI KUUMIA TENA!!!!!

Ulikuwa haujampenda sawa sawa wewe, serikali unayoisema hata mimi naitumikia uhamisho hauwezi kutenganisha ndoa. Serikalini!!! mlishindwa kufunga ndoa mkajikaza kukaa mbali mbali hata miaka 2 mkafungua miradi mnapotaka kuishi(mlipopachagua) kisha mkachukua mmoja akachukua maximum mkopo akaachana na serikali akasimamia miradi? kwa security TIN lessen ziandikwe jina lake iwe ndo ajira yake? utafikiri serikali inawalipa milioni 10. Furaha iko mikononi mwako dunia na serikali vikikuendesha hutakaa uwe na familia bora.

Halafu tafutaga wanawale wenye akili na waelewa uhamisho sio issue. Mkiwekeza kitu cha kuingiza minimum 30,000/ kwa siku anachukua/yeye mkopo mkubwa, anaandika barua ya kuomba uhamisho wa kufuata familia ina matatizo hamna namna anaweza kuishi mbali nayo halafu asepe hawamfukuzi wataishia kumuita apate uhamisho.

Maisha sio magumu hivyo jamani.
 
Wewe inaonesha huna Mapenzi ya kweli, unaendekeza masomo kupita familia yako
Asante kwa ushauri.Lakini kumbuka pia masomo yanaweza kumfanya mtu achelewe kuoa.Si ajabu ukamkuta profesa ana miaka 50,lakini ana mtoto yuko darasa la pili!
 
Ushauri wako nitaufanyia kazi,ASANTE!!!!!
 
Asante kwa ushauri.Lakini kumbuka pia masomo yanaweza kumfanya mtu achelewe kuoa.Si ajabu ukamkuta profesa ana miaka 50,lakini ana mtoto yuko darasa la pili!
Basi kuna sababu nyingine, huenda hujali familia yako we ni masomo masomo na wewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom