Natafuta mke mwenye vigezo hivi

Kumbuka natafuta mwenza wa maisha.Mimi niko huru kila ninayempata namruhusu awe wazi kwangu nami simfichi chochote.HIVYO PAMOJA NA KWAMBA MIMI NINATAFUTA NA BADO SIJAPATA, PIA NA UPANDE WA PILI UNA HAKI YA KUAMUA!!!!
Sawa, kila la kheri mkuu.
 
By this moment this are the kind of men i like coz they hav Experienced a lot in relationship....
 
Mimi umri wangu ni miaka 40. Nilikuwa masomoni nje ya nchi. Natafuta mke.
Niliwahi kuwa na mahusiano na nina watoto wawili na ninawapenda sana.

Dini yangu mkristo. Mke awe mkristo. Umri wa mke kuanzia 25 ila umbile liwe la ki utu uzima!

Aliye tayari aniPM.
BADO NAENDELEA KUAMINI KUWA HATA INGAWA BADO SIJAPATA WIFE TO BE(MKE MTARAJIWA) IKO SIKU NITAPATA.MREJESHO NI KWAMBA KILA NINAYEMPATA ANADAI ANA KAZI YA KUDUMU TENA MIKOA YA PWANI KWA HIYO UNAKUTA INAKUWA NGUMU KUANZISHA BOND!JAMANI TUSIDANGANYANE MAISHA YA NDOA MUNGU ALIKUSUDIA MUME NA MKE WAISHI PAMOJA.NA NDIYO MAANA YA NDOA!!!!
 
kunaambaye ana miaka 25 na anawatoto wa 2 nikuunganishe nae,simtazaa tena wa 2 jumla mtakuwa nawatoto 6 ngoma droo
 
kunaambaye ana miaka 25 na anawatoto wa 2 nikuunganishe nae,simtazaa tena wa 2 jumla mtakuwa nawatoto 6 ngoma droo
Kumbuka mimi niko serious na sitafuti mshindani bali MWENZA WA MAISHA!!!.Sasa unaposema tutakuwa ngoma droo sikuelewi!!!!
 
Mimi umri wangu ni miaka 40. Nilikuwa masomoni nje ya nchi. Natafuta mke.
Niliwahi kuwa na mahusiano na nina watoto wawili na ninawapenda sana.

Dini yangu mkristo. Mke awe mkristo. Umri wa mke kuanzia 25 ila umbile liwe la ki utu uzima!

Aliye tayari aniPM.
Labda niongeze na sifa hii moja kwa mke mtarajiwa wangu kuwa ningependa hata kama anafanya kazi zisiwe zile za mikataba ya kudumu hasa mbali na eneo nililopo.Mimi siwezi kuishi mbali na mke kwa kigezo cha kazi.Babu yangu alishaniusia kuwa kuishi mbali kwa wenza wa ndoa ni kumpa nafasi shetani afanye mambo yake!Naliweka wazi hili kwa sababu akina dada wote ninaopata wanadai kuwa kuolewa wako tayari ila pia wataishi mbali na mume kwa kigezo cha kazi!!!HUO NDIYO MTIHANI!!!!
 
Mimi umri wangu ni miaka 40. Nilikuwa masomoni nje ya nchi. Natafuta mke.
Niliwahi kuwa na mahusiano na nina watoto wawili na ninawapenda sana.

Dini yangu mkristo. Mke awe mkristo. Umri wa mke kuanzia 25 ila umbile liwe la ki utu uzima!

Aliye tayari aniPM.
Nipe no.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom