Natafuta mke mwenye vigezo hivi

Kaka sijazoea kusema uongo.Ukweli ni kwamba hata ukificha huna watoto kuumbuka ni rahisi.Mwenza wako akigundua kuituliza hiyo hali inaweza kukugharimu!!!!
Umefanya vyema. Hata kichaa huwa anataka kuwa recognised kama ana mtoto na yupo proud mno na watoto wake, sembuse wewe mwenye akili zako timamu. Na kwa nini mtu afiche watoto wake, anawaonea aibu au? Tena mtu akija, maongezi ya kwanza tu shurti ajue una watoto, aamue kusuka ama kunyoa. Watoto wako, priority yako
 
Mimi umri wangu ni miaka 40. Nilikuwa masomoni nje ya nchi. Natafuta mke.
Niliwahi kuwa na mahusiano na nina watoto wawili na ninawapenda sana.

Dini yangu mkristo. Mke awe mkristo. Umri wa mke kuanzia 25 ila umbile liwe la ki utu uzima!

Aliye tayari aniPM.
Yaaani mm nimefit kabisaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom