Wewe una miaka mingapi?Awe na umri wa miaka 19 mpaka 24, awe Christian, asiwe na mtoto.
NB: awe anajua kucheza draft na pool table, hii ni kwa faida ya watoto watakaozaliwa
Wewe una miaka mingapi?Awe na umri wa miaka 19 mpaka 24, awe Christian, asiwe na mtoto.
NB: awe anajua kucheza draft na pool table, hii ni kwa faida ya watoto watakaozaliwa
hii pia ni ngumu?Miaka 29 asiye na mtoto!
na draft jePool table zinakuwa bar/pub na maeneo ya masela hapo unatafuta barmaid na single mothers!!!
Demu kujua pool table awe kaishi geto na hakosi tattoo!!😀
kuna pool table za kwenye simu mkuuPool table zinakuwa bar/pub na maeneo ya masela hapo unatafuta barmaid na single mothers!!!
Demu kujua pool table awe kaishi geto na hakosi tattoo!!😀
Hapo umeelezea watu wanne tofauti mkuu. Finyanga mwenyewe tuAwe na umri wa miaka 19 mpaka 24, awe Christian, asiwe na mtoto.
NB: awe anajua kucheza draft na pool table, hii ni kwa faida ya watoto watakaozaliwa
Za kuchorewa viwango au siokuna pool table za kwenye simu mkuu
Mwanamke chini ya miaka 26, unatafuta sex partner siyo mke. Mke halisi anaanzia miaka 30Awe na umri wa miaka 19 mpaka 24, awe Christian, asiwe na mtoto.
NB: awe anajua kucheza draft na pool table, hii ni kwa faida ya watoto watakaozaliwa
utuko uko wapi hapo mkuuUngeandika kwamba..."NATAFUTA MKE KITUKO"...!
eh hii mpya kiongozi, fafanua kidogo mkuuMwanamke chini ya miaka 26, unatafuta sex partner siyo mke. Mke halisi anaanzia miaka 30
30 mkuuWewe una miaka mingapi?