Mtaachana
JF-Expert Member
- Mar 27, 2025
- 1,644
- 5,727
Mabinti wabichi mbona wapo ShesRise_1Humu kuna ma single mother tu, hamna mabinti. Shauri yako
Mabinti wabichi mbona wapo ShesRise_1Humu kuna ma single mother tu, hamna mabinti. Shauri yako
Una mpoteza huyo mi nina watoto wa 4Mabinti wabichi mbona wapo ShesRise_1
Na kila mmoja ana baba yake, uongo..?Una mpoteza huyo mi nina watoto wa 4
Yes nimechanganya mbegu 😋Na kila mmoja ana baba yake, uongo..?
Kwa umri wako uwezi fikisha watoto wa4Una mpoteza huyo mi nina watoto wa 4
Unabisha kwaniniKwa umri wako uwezi fikisha watoto wa4
H nimecheka 😂NB: awe anajua kucheza draft na pool table, hii ni kwa faida ya watoto watakaozaliwa
Acha kuwakatisha watu tamaaUnabisha kwanini
Tulia mtoto
👊Acha kuwakatisha watu tamaa
Haha kwanini? Nini kimepelekea kudraw hizo possibilities? 😂Binti wa miaka 19-24 kujua kucheza draft maana yake iq yake 50% and above. Kitu ambacho ni impossible
Akijua kucheza draft maana yake age ni 29 and above
Akiwa anajua kucheza pooltable possibility ya kuwa na mtoto ni 95%
Akijua kucheza draft na pooltable maana yake ni miaka 29 and above au ni single mother au both
Akiwa na miaka 19-24 alafu hana mtoto possibility kubwa hana akili ya maisha. Automatically na draft atakua ajui labda uanze kumfundisha
Yan umfundishe tege, nugza, samba aache mambo ya tiktok
Sasa rudi tena usome comment yangu #1
ninazo mkuuHAo ni wanawake watanokwa mwanamke mmoja wewe izo sifa unazo
kwamba ni ngumu mabinti kuijua jf?Humu kuna ma single mother tu, hamna mabinti. Shauri yako
asante mkuuKila la kheri
Miaka 29 asiye na mtoto!dah kweli mkuu ina make sense, solution hapa ni kusubiri nifike hata miaka 36 hivi ili nimpate wa 29 anayejua vyote, wa kumfundisha sitaki nataka anayejua tuchanganye mitego watoto wazaliwe wakiwa mafundi