Natafuta mganga wa kienyeji

Natafuta mganga wa kienyeji

Nyie Ndio Mnaoendekeza Ushirikina Katika Jamii. Tumesema Hatutaki Shughuli Za Uganga, Na Yeyote Atakayeonekana Anaenda Kwa Kwa Mganga Akamatwe Na Kufunguliwa Mashitaka Kwa Sheria Ya Uchawi
 
Ushindwe mwenyewe, kuna dogo ana hivi vipeperushi hapa simu2000. Kajipatie utajiri baba
IMG_20181012_073413.jpg
 
Kuna dalili ya mtu "kupigwa hapa"

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umenena, ila watu wawe makini sana humu, maana sasa hivi kuna mabalaa yanayotokea kule Njombe, Serikali inaendelea kufanya upelelezi wa matukio yale, usije ukaenda pm kwa mtoa mada na kujieleza kua unamfahamu mganga ambae alikufanikishia wewe au jamaa yako, ujue utalisaidia jeshi la polisi, hapa ni kua makini mtu anaweza kuja kwa staili hiyo kumbe yupo kazini.
 
Mzee baba pesa si kila kitu katika haya maisha na utakuja kusadiki hili pale upweke utakapo anza kutawala katika maisha yako
Zaidi jitahidi kujenga upendo na uaminifu ukiukiendeleza hustle zako kitaa
 
Nilipoachana na matapeli kuna waganga Wananisaidia sana ni hawa kama ifuatavyo wanaitwa Kujituma mwingine Heshima ya pesa mwingine Kuthubutu mwingine Thamini Muda
 
Kuna mganga mmoja yupo Zanzibar yeye anakuchanja chale kuzunguuka kinyero chako na masharti mengine baada ya muda unafanikiwa, mimi niligoma kuangaliwa kinyero changu na mwanaume mwenzangu, tena akiguse hapo nilishidwa kabisa, labda ingekuwa mwanamke sawa yeye ningemruhusu hata kuingiza kidole
😂😂😂 khaa
 
Habari zenu ndugu,

Najua JF kuna watu wengi wanaojua watu hawa wanaoweza kufanikisha hili, nipo serious sana anaeweza kuniunganisha nae aje PM please.

Nina uhitaji sana wa hii kitu wewe unaesoma kama unaweza kunisaidia nipm

Karibuni.

(KWA WANAOAMINI HAYA MAMBO TU)
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mganga mmoja Namjua hata mi namtumia Jina lake Yesu kristo alinipa dawa ya kufanikiwa ni kufanya kaz na kusali. Fika kanisani ndiko aliko mwite ataitika
 
Wana jf ni matumaini yangu mu wazima Wa afya.niende kwenye mada husika,Mimi ni kijana Wa makamo Niko njombe wilaya ya makete,wiki tatu zilizo pita wez walivamia nyumbani kwangu Na kuiba pikipiki.ombi langu ni kwamba kama Kuna mtu yeyote anaemfaham Mganga Wa jadi tafadhar nisaidieni nimechoka kuibiwa jamani hii ni Mara ya tatu sasa nahis Kwa sababu hawafanywi chochote ndio maana wamekuwa wananionewa.please Niko silias naomba msaada kama huwez tafadhar pita kimya bila koment yoyote.DM au nichek 0756752369
 
Umejuaje kua baada ya biashara zako kushuka mganga wa kienyeji ndiye atakayezipandisha?

Umejaribu ku study root cause ya biashara zako kushuka?

Huko kwa mganga ndio sasa unaenda
kushuka na wewe pia na sio biashara zako tu!
huyo mganga kama anaweza kuzipandisha biashara zako si angekua yeye ni mfanyabiashara mkubwa tuu?!
mganga namlipansh 50,000 biasharabinahitaji mtaji wa 100mln sasa hizo mganga anazo
 
Najua mtashangaa natafuta mganga wa kienyeji ndio baada ya biashara zangu kushuka kwa muda mrefu nikaona mnisaidie mimi nasomaga tu jamii forum ila leo nimeona tu nijiunge niseme ukweli mimi ni mwanamke umri haujaenda sana ila nipo serious anayejua anipm maneno ya kupondeana sina muda huo nipo serious ila naomba msinielekeze kwa wanaotoa kafara siwezani na hilo.
Nataka biashara zangu tu ziende vizuri.
Nategemewa sana na familia yangu .
Naombeni msaada mimi sijatumwa na mtu nimejituma .
NIPO.SERIOUS KABISA.

Nichek inbox
 
Kumbe huyo ndo mganga wa kienyeji anaetafutwa na mleta mada
Kuna mganga mmoja Namjua hata mi namtumia Jina lake Yesu kristo alinipa dawa ya kufanikiwa ni kufanya kaz na kusali. Fika kanisani ndiko aliko mwite ataitika
 
Hatawarudisha Bali anaweza kumshuhulikia huyo ambaye atahitaji tena kuwamaliza ndugu zako unaowapenda watano wengine kwa mpigo kwa wakati mmoja.
Upo hapo..!
Je huyo mganga atawarejesha hao ndugu zako watakaokuwa wamefariki?
 
Back
Top Bottom