Natafuta mganga wa kienyeji

Natafuta mganga wa kienyeji

Najua mtashangaa natafuta mganga wa kienyeji ndio baada ya biashara zangu kushuka kwa muda mrefu nikaona mnisaidie mimi nasomaga tu jamii forum ila leo nimeona tu nijiunge niseme ukweli mimi ni mwanamke umri haujaenda sana ila nipo serious anayejua anipm maneno ya kupondeana sina muda huo nipo serious ila naomba msinielekeze kwa wanaotoa kafara siwezani na hilo.
Nataka biashara zangu tu ziende vizuri.
Nategemewa sana na familia yangu .
Naombeni msaada mimi sijatumwa na mtu nimejituma .
NIPO.SERIOUS KABISA.
kweli we Black cat
 
Kweli YESU NDIO NJIA PEKEE MAOMBI NDIO NJIA SAHIHI YA KILA SIKU NA KILA SAA UNADHANI SIJUI NAJUA BIBLIA SANA TU.
NAMPENDA YESU WANGU SANA KUSHINDA DUNIA NZIMA ILA UNAJUA WHY NAHITAJI.
1.Namiaka 30 sina mume nikipata naachika wengine wanauwawa.
2.sina kazi nanikipata nafukuzwa bila shida baada yakutoka ukikutana na meneja anakuambia hivi ulitokaje hapo kwetu.
Namjibu siulinifukuza mimi anashangaa mana sio yeye.
Nimeishi ndani ya dini maisha yangu yote mimi ni mtoto wa pastor napia nimekaa mpaka sasa 18-30 sijaolewa sina kazi familia yangu ni wamefukuzwa umeruni wengine wamekatwa katwa nyumba tumeacha imechomwa.
Halafu tunapanga kwetu hakuna aliyeoa au kuolewa mpaka wengine wanakaribia 40 hawana watoto.
Kila siku unawaza unaolewa lini.
Halafu kwa sasa hakuna atakayekuoa hivi unajisikiaje?
Nikuombe kitu achana na maisha ya watu kwa maana hujui watu wanakotokea .
Sio sijui najua .
Mpaka sasa ni Mungu amenipa uhai kabisa
Pole sana dada, ila endelea kumtumaini Mwenyezi Mungu ni mitihani tu ya kidunia amini ipo siku mambo yatakua shwari.
Umri si hoja kama kuolewa utampata mume wa maisha yako, kila jambo lina wakati wake.
 
Nachokijua mm mtu unakuta ana bonge la hirizi ila maneno ya mungu hayamuishi kinywan
 
Kweli YESU NDIO NJIA PEKEE MAOMBI NDIO NJIA SAHIHI YA KILA SIKU NA KILA SAA UNADHANI SIJUI NAJUA BIBLIA SANA TU.
NAMPENDA YESU WANGU SANA KUSHINDA DUNIA NZIMA ILA UNAJUA WHY NAHITAJI.
1.Namiaka 30 sina mume nikipata naachika wengine wanauwawa.
2.sina kazi nanikipata nafukuzwa bila shida baada yakutoka ukikutana na meneja anakuambia hivi ulitokaje hapo kwetu.
Namjibu siulinifukuza mimi anashangaa mana sio yeye.
Nimeishi ndani ya dini maisha yangu yote mimi ni mtoto wa pastor napia nimekaa mpaka sasa 18-30 sijaolewa sina kazi familia yangu ni wamefukuzwa umeruni wengine wamekatwa katwa nyumba tumeacha imechomwa.
Halafu tunapanga kwetu hakuna aliyeoa au kuolewa mpaka wengine wanakaribia 40 hawana watoto.
Kila siku unawaza unaolewa lini.
Halafu kwa sasa hakuna atakayekuoa hivi unajisikiaje?
Nikuombe kitu achana na maisha ya watu kwa maana hujui watu wanakotokea .
Sio sijui najua .
Mpaka sasa ni Mungu amenipa uhai kabisa
Ushapata mganga?? Yupo mzee Pemba naweza kukupeleka
 
Back
Top Bottom