Natafuta mganga wa kienyeji

Natafuta mganga wa kienyeji

Kweli YESU NDIO NJIA PEKEE MAOMBI NDIO NJIA SAHIHI YA KILA SIKU NA KILA SAA UNADHANI SIJUI NAJUA BIBLIA SANA TU.
NAMPENDA YESU WANGU SANA KUSHINDA DUNIA NZIMA ILA UNAJUA WHY NAHITAJI.
1.Namiaka 30 sina mume nikipata naachika wengine wanauwawa.
2.sina kazi nanikipata nafukuzwa bila shida baada yakutoka ukikutana na meneja anakuambia hivi ulitokaje hapo kwetu.
Namjibu siulinifukuza mimi anashangaa mana sio yeye.
Nimeishi ndani ya dini maisha yangu yote mimi ni mtoto wa pastor napia nimekaa mpaka sasa 18-30 sijaolewa sina kazi familia yangu ni wamefukuzwa umeruni wengine wamekatwa katwa nyumba tumeacha imechomwa.
Halafu tunapanga kwetu hakuna aliyeoa au kuolewa mpaka wengine wanakaribia 40 hawana watoto.
Kila siku unawaza unaolewa lini.
Halafu kwa sasa hakuna atakayekuoa hivi unajisikiaje?
Nikuombe kitu achana na maisha ya watu kwa maana hujui watu wanakotokea .
Sio sijui najua .
Mpaka sasa ni Mungu amenipa uhai kabisa
Pole lakin pamoja na changamoto zote hzo ulizona nazo ukweli utabaki kuwa ukweli hautabadilika , waganga watakupoteza,
 
Pole sana sikushauri hata maramoja uingie huko
Hakufai
Kuna kafara
Kuna matambiko
Kuna mateso
Kuna maagano mabaya kabisa
Nasema tena sikushauri abadan
Fanya hivi
Jibidiishe na biashara yako
Jifunze mbinu mbalimbali za kukuza biashara
Zingatia muda
Zingatia matumizi
Thamini kila dakika kila sent
Kuwa na kumbukumbu za biashara
Jifunze kwa waliofanikiwa

Tiba pekee isiyo na madhara utakayotumia bila shida na bila gharama ni chumvi ya mawe
Changanya kiganja kimoja kwenye ndoo ya lita 20 ogea mara 2 kwa siku kisha eneo lako la biashara mwaga chumvi kulizunguka ndani na nje
ingia google tafuta mbinu za biashara
 
Kweli YESU NDIO NJIA PEKEE MAOMBI NDIO NJIA SAHIHI YA KILA SIKU NA KILA SAA UNADHANI SIJUI NAJUA BIBLIA SANA TU.
NAMPENDA YESU WANGU SANA KUSHINDA DUNIA NZIMA ILA UNAJUA WHY NAHITAJI.
1.Namiaka 30 sina mume nikipata naachika wengine wanauwawa.
2.sina kazi nanikipata nafukuzwa bila shida baada yakutoka ukikutana na meneja anakuambia hivi ulitokaje hapo kwetu.
Namjibu siulinifukuza mimi anashangaa mana sio yeye.
Nimeishi ndani ya dini maisha yangu yote mimi ni mtoto wa pastor napia nimekaa mpaka sasa 18-30 sijaolewa sina kazi familia yangu ni wamefukuzwa umeruni wengine wamekatwa katwa nyumba tumeacha imechomwa.
Halafu tunapanga kwetu hakuna aliyeoa au kuolewa mpaka wengine wanakaribia 40 hawana watoto.
Kila siku unawaza unaolewa lini.
Halafu kwa sasa hakuna atakayekuoa hivi unajisikiaje?
Nikuombe kitu achana na maisha ya watu kwa maana hujui watu wanakotokea .
Sio sijui najua .
Mpaka sasa ni Mungu amenipa uhai kabisa

Pole sana dada, ila jikite kwa Mungu kumuomba na siyo yesu, yesu ni binadamu kama sisi tu.
 
Njoo bumbuli nikupeleke kwa mtaalamu
Najua mtashangaa natafuta mganga wa kienyeji ndio baada ya biashara zangu kushuka kwa muda mrefu nikaona mnisaidie mimi nasomaga tu jamii forum ila leo nimeona tu nijiunge niseme ukweli mimi ni mwanamke umri haujaenda sana ila nipo serious anayejua anipm maneno ya kupondeana sina muda huo nipo serious ila naomba msinielekeze kwa wanaotoa kafara siwezani na hilo.
Nataka biashara zangu tu ziende vizuri.
Nategemewa sana na familia yangu .
Naombeni msaada mimi sijatumwa na mtu nimejituma .
NIPO.SERIOUS KABISA.
 
Kweli YESU NDIO NJIA PEKEE MAOMBI NDIO NJIA SAHIHI YA KILA SIKU NA KILA SAA UNADHANI SIJUI NAJUA BIBLIA SANA TU.
NAMPENDA YESU WANGU SANA KUSHINDA DUNIA NZIMA ILA UNAJUA WHY NAHITAJI.
1.Namiaka 30 sina mume nikipata naachika wengine wanauwawa.
2.sina kazi nanikipata nafukuzwa bila shida baada yakutoka ukikutana na meneja anakuambia hivi ulitokaje hapo kwetu.
Namjibu siulinifukuza mimi anashangaa mana sio yeye.
Nimeishi ndani ya dini maisha yangu yote mimi ni mtoto wa pastor napia nimekaa mpaka sasa 18-30 sijaolewa sina kazi familia yangu ni wamefukuzwa umeruni wengine wamekatwa katwa nyumba tumeacha imechomwa.
Halafu tunapanga kwetu hakuna aliyeoa au kuolewa mpaka wengine wanakaribia 40 hawana watoto.
Kila siku unawaza unaolewa lini.
Halafu kwa sasa hakuna atakayekuoa hivi unajisikiaje?
Nikuombe kitu achana na maisha ya watu kwa maana hujui watu wanakotokea .
Sio sijui najua .
Mpaka sasa ni Mungu amenipa uhai kabisa
Kwaio ushapata mume, tutatue tatzo la kwanza tatzo kuu hiz ela zipo tu
 
Mtoa post anatafuta mganda sio mganga
Hakuna mganga anatoaga dawa y ukweli ya biashara bila kafara ya mtu
 
Katika hii dunia hakuna watu wenye roho mbaya kama maskin, wanajifanya wachamungu ila ndo washirikina wakubwa;cku iz ad muuza karanga anaenda kwa mganga, bodaboda, machinga wote njia moja ila kwa kukomenti apa kila mtu atasema yesu, cku iz ad kanisan kuna ushirikina
 
Mganga pekee ni MUNGU muumba mbingu na ardhi muombe bila kukoma..
Binadamu unayehisi kuwa anaweza kuwa msaada kwako nae pia ana matatizo kuliko yako. Trust in GOD.
 
Back
Top Bottom