Natafuta mganga wa kienyeji

Natafuta mganga wa kienyeji

Habari zenu ndugu,

Najua JF kuna watu wengi wanaojua watu hawa wanaoweza kufanikisha hili, nipo serious sana anaeweza kuniunganisha nae aje PM please.

Nina uhitaji sana wa hii kitu wewe unaesoma kama unaweza kunisaidia nipm

Karibuni.

(KWA WANAOAMINI HAYA MAMBO TU)
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao waganga wao wenyewe wangekua wameshafanikiwa kwenye kipato basi wasingefanya hiyo kazi wanayoifanya,

Achana na mawazo yasiyokua na maana,unalitafuta anguko lako wewe mwenyewe!

Kaa chini fikiria ni wapi unakosea? na unarekebishaje?
Kua na mipango,
Fanya kazi kwa juhudi na maarifa,
Kua na nidhamu ya maisha,
Kua muaminifu,
Mpende Mungu,
Hakuna litakaloshindikana.
 
Akili ikigota mwisho mtu hutafuta majibu kwenye mambo yasiyo eleweka.

Utaelekezwa kwa mganga vizuri tu, lakini utamkuta ana halingumu kushinda wewe alafu eti anauwezo wa kukupa dawa zikufanye upate pesa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mganga wa nn ndugu achana na hayo mawazo.
fanya kazi kwa bidii
mwombe Mungu na umshukuru kwa kila jambo utafanikiwa
 
Kuna mganga mmoja yupo Zanzibar yeye anakuchanja chale kuzunguuka kinyero chako na masharti mengine baada ya muda unafanikiwa, mimi niligoma kuangaliwa kinyero changu na mwanaume mwenzangu, tena akiguse hapo nilishidwa kabisa, labda ingekuwa mwanamke sawa yeye ningemruhusu hata kuingiza kidole
 
Haha sasa ana kuchanja huko iliiweje !?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom