vampire123
JF-Expert Member
- Apr 17, 2016
- 1,310
- 868
Aliyekuambia MSHANA JR mganga nan?
Aliyekuambia MSHANA JR mganga nan?
kuna mahali nimeandika yeye ni mganga wa kienyejiAliyekuambia MSHANA JR mganga nan?
Aliyekuambia MSHANA JR mganga nan?
kuna mahali nimeandika yeye ni mganga wa kienyeji

Kaka ili chumvi ya mawe ifanye kazi ni lazima isomewe dua mbili muhimu.Dua moja inasomwa Mara sabini na tano na dua nyingine inasomwa Mara sabini na tano kisha mhusika anatumia kuoga asubuhi na usiku kwa siku saba inshaalah inafungua vifungo vyote .Pole sana sikushauri hata maramoja uingie huko
Hakufai
Kuna kafara
Kuna matambiko
Kuna mateso
Kuna maagano mabaya kabisa
Nasema tena sikushauri abadan
Fanya hivi
Jibidiishe na biashara yako
Jifunze mbinu mbalimbali za kukuza biashara
Zingatia muda
Zingatia matumizi
Thamini kila dakika kila sent
Kuwa na kumbukumbu za biashara
Jifunze kwa waliofanikiwa
Tiba pekee isiyo na madhara utakayotumia bila shida na bila gharama ni chumvi ya mawe
Changanya kiganja kimoja kwenye ndoo ya lita 20 ogea mara 2 kwa siku kisha eneo lako la biashara mwaga chumvi kulizunguka ndani na nje
😂😂😂😂my ribsKaka ili chumvi ya mawe ifanye kazi ni lazima isomewe dua mbili muhimu.Dua moja inasomwa Mara sabini na tano na dua nyingine inasomwa Mara sabini na tano kisha mhusika anatumia kuoga asubuhi na usiku kwa siku saba inshaalah inafungua vifungo vyote .
Hata hivyo kafara ni muhimu sana katika biashara kama MTU yupo serious kweli kwa sababu hakuna uchawi unaweza kusimama bila kafara ya damu .
Kafara ndio miguu ya kusimamisha agano lolote lile.
Huyo mdada hayupo serious
Huwezi pata dawa ya uhakika ya biashara.
Pesa hazitafutwi kikristo.
Unless otherwise aende akapige makofi kanisani
Najua mtashangaa natafuta mganga wa kienyeji ndio baada ya biashara zangu kushuka kwa muda mrefu nikaona mnisaidie mimi nasomaga tu jamii forum ila leo nimeona tu nijiunge niseme ukweli mimi ni mwanamke umri haujaenda sana ila nipo serious anayejua anipm maneno ya kupondeana sina muda huo nipo serious ila naomba msinielekeze kwa wanaotoa kafara siwezani na hilo.
Nataka biashara zangu tu ziende vizuri.
Nategemewa sana na familia yangu .
Naombeni msaada mimi sijatumwa na mtu nimejituma .
NIPO.SERIOUS KABISA.

Nenda kanisani ukapige makofi Wewe.Huwezi pata uchawi wa biashara bila kutoa kafara ya damu.kubwa.
Pesa haitafutwi kikristo
mh!!....Kaka ili chumvi ya mawe ifanye kazi ni lazima isomewe dua mbili muhimu.Dua moja inasomwa Mara sabini na tano na dua nyingine inasomwa Mara sabini na tano kisha mhusika anatumia kuoga asubuhi na usiku kwa siku saba inshaalah inafungua vifungo vyote .
Hata hivyo kafara ni muhimu sana katika biashara kama MTU yupo serious kweli kwa sababu hakuna uchawi unaweza kusimama bila kafara ya damu .
Kafara ndio miguu ya kusimamisha agano lolote lile.
Huyo mdada hayupo serious
Huwezi pata dawa ya uhakika ya biashara bila kufanya kafara
Pesa hazitafutwi kikristo.
Unless otherwise aende akapige makofi kanisani
Najua mtashangaa natafuta mganga wa kienyeji ndio baada ya biashara zangu kushuka kwa muda mrefu nikaona mnisaidie mimi nasomaga tu jamii forum ila leo nimeona tu nijiunge niseme ukweli mimi ni mwanamke umri haujaenda sana ila nipo serious anayejua anipm maneno ya kupondeana sina muda huo nipo serious ila naomba msinielekeze kwa wanaotoa kafara siwezani na hilo.
Nataka biashara zangu tu ziende vizuri.
Nategemewa sana na familia yangu .
Naombeni msaada mimi sijatumwa na mtu nimejituma .
NIPO.SERIOUS KABISA.
Chumvi ya mawe inafanyaje kazi?Pole sana sikushauri hata maramoja uingie huko
Hakufai
Kuna kafara
Kuna matambiko
Kuna mateso
Kuna maagano mabaya kabisa
Nasema tena sikushauri abadan
Fanya hivi
Jibidiishe na biashara yako
Jifunze mbinu mbalimbali za kukuza biashara
Zingatia muda
Zingatia matumizi
Thamini kila dakika kila sent
Kuwa na kumbukumbu za biashara
Jifunze kwa waliofanikiwa
Tiba pekee isiyo na madhara utakayotumia bila shida na bila gharama ni chumvi ya mawe
Changanya kiganja kimoja kwenye ndoo ya lita 20 ogea mara 2 kwa siku kisha eneo lako la biashara mwaga chumvi kulizunguka ndani na nje
InterestingNenda kanisani ukapige makofi Wewe.Huwezi pata uchawi wa biashara bila kutoa kafara ya damu.kubwa.
Pesa haitafutwi kikristo
Mkuu ukishachanganya chumvi na maji unaogea bafuni kama kawaida?Pole sana sikushauri hata maramoja uingie huko
Hakufai
Kuna kafara
Kuna matambiko
Kuna mateso
Kuna maagano mabaya kabisa
Nasema tena sikushauri abadan
Fanya hivi
Jibidiishe na biashara yako
Jifunze mbinu mbalimbali za kukuza biashara
Zingatia muda
Zingatia matumizi
Thamini kila dakika kila sent
Kuwa na kumbukumbu za biashara
Jifunze kwa waliofanikiwa
Tiba pekee isiyo na madhara utakayotumia bila shida na bila gharama ni chumvi ya mawe
Changanya kiganja kimoja kwenye ndoo ya lita 20 ogea mara 2 kwa siku kisha eneo lako la biashara mwaga chumvi kulizunguka ndani na nje
Kaka ili chumvi ya mawe ifanye kazi ni lazima isomewe dua mbili muhimu.Dua moja inasomwa Mara sabini na tano na dua nyingine inasomwa Mara sabini na tano kisha mhusika anatumia kuoga asubuhi na usiku kwa siku saba inshaalah inafungua vifungo vyote .
Hata hivyo kafara ni muhimu sana katika biashara kama MTU yupo serious kweli kwa sababu hakuna uchawi unaweza kusimama bila kafara ya damu .
Kafara ndio miguu ya kusimamisha agano lolote lile.
Huyo mdada hayupo serious
Huwezi pata dawa ya uhakika ya biashara bila kufanya kafara
Pesa hazitafutwi kikristo.
Unless otherwise aende akapige makofi kanisani

Sintakufa bali nitaishiUtakufa, utatoa makafara ya kuku, mbuzi, ng'ombe, wajomba, mashangazi, mabinamu, siblings, wazazi hatimaye wewe mwenyewe utachukuliwa msukule.
Kuyumba kwa biashara ni hali ya kawaida sana, hasa kwenye utawala huu unaodhulumu wanyonge huku ukijinadi kuwa unatetea wanyonge
Umejuaje kua baada ya biashara zako kushuka mganga wa kienyeji ndiye atakayezipandisha?
Umejaribu ku study root cause ya biashara zako kushuka?
Huko kwa mganga ndio sasa unaenda kushuka na wewe pia na sio biashara zako tu!
huyo mganga kama anaweza kuzipandisha biashara zako si angekua yeye ni mfanyabiashara mkubwa tuu?!
Hiyo akili ungeitumia kuwaza na kubuni biashara nzuri ya kukuingizia kipato nadhani ungefika mbali sana.Kazaa kumuamini Mungu na yeye ndo mganga wa waganga wote.
Yesu ndio kila kitu duniani na mbinguni, wagangacwatampoteza tuNilijua tu lazma atawekwa yesu hapa.
Kwani yeye yesu hamjui mpaka unamlazimisha aende kwa yesu aisee...?. Usipende kukariri vitu ndugu.
Acha mawazo mgando bwana.
Kweli YESU NDIO NJIA PEKEE MAOMBI NDIO NJIA SAHIHI YA KILA SIKU NA KILA SAA UNADHANI SIJUI NAJUA BIBLIA SANA TU.Yesu ndio kila kitu duniani na mbinguni, wagangacwatampoteza tu