Jua kwanza kuandika vizuri ndio tutakutafutia sponser kwa divition 2 yako pleezzz... I think niko saahihi [emoji23] [emoji23]
mkuu bado haja kucheki tu...?Mkuu huyo jamaa hajanicheki mpaka sasa
hajanicheki kabisamkuu bado haja kucheki tu...?
Duuuh aise... ebu ngoja nijaribu kumsisitiza, maana ni mzazi ndiye anatakiwa toa ruhusa ya mtoto wake... ndio maana nilimuomba akucheki mwenyewe ili mzungumze...hajanicheki kabisa
salaam. wana jamVi.
nmemaliza form six juz nikapata divition 2 naomba msaada wenu mnipe ushaur wapi nitapata mtu wa kuniwezesha kwenda kusoma nje yaa nchi kwan ni ndoto yangu ya kila siku na natamaan sana itimie lakin nashindw nipate wapi msaada. maoni yenu pleeeeez
Sent using Jamii Forums mobile app