Natafuta mfadhili wa kunisomesha nje ya nchi

Ningekupa Connection za Turkey sema wewe Punga kule utauliwa mapema.
Nendaa UK ukakutane na Mapunga wenzako
 
  1. mkuu kuhusu division two sio tatizo mi kuna jamaa namjua alipata division three na akapata ufadhili wa masomo nje ya nchi.
Yaani nilishangaa ana division 2 ila anaandika divition badala ya division.
Namjua pia mtu ana div. 3 na amepata ufadhili.
 
salaam. wana jamVi.
nmemaliza form six juz nikapata divition 2 naomba msaada wenu mnipe ushaur wapi nitapata mtu wa kuniwezesha kwenda kusoma nje yaa nchi kwan ni ndoto yangu ya kila siku na natamaan sana itimie lakin nashindw nipate wapi msaada. maoni yenu pleeeeez

Sent using Jamii Forums mobile app
kama unacheza basket una urefu wa5'9 wa kike au 6'10 wa kiume umri chini ya miak 17 nitafute nafasi wazi wazi
 
kama unacheza basket una urefu wa5'9 wa kike au 6'10 wa kiume umri chini ya miak 17 nitafute nafasi wazi wazi
kuna mshikaji wangu yupo mjini ana piga kikapu tangu amalize diploma yake... naomba kuwasiliana nawe ili niweze kumpata taratibu mkuu za hiyo fursa...
 
kuna mshikaji wangu yupo mjini ana piga kikapu tangu amalize diploma yake... naomba kuwasiliana nawe ili niweze kumpata taratibu mkuu za hiyo fursa...
Huyo atakuwa juu ya miaka 17, inabidi awe chini ya miaka 17 na urefu huo mkuu yani hiyo ni muhimu sana.
 
Mkuu kuna kijana amepatikana... nimempa mzee wake email yako ili muweze kuwasiliana... ana sifa hizo ulizo zitaja au kuhitajika...
Sawa mkuu akinicheki ntampa maelekezo. Si anacheza kikapu? Maana wanahitaj video ya dakika moja akicheza kikapu, trans kutoka shule anayosoma na copy ya passport yake. Kama kila kitu kiko poa hadi miaka hakuna longo longo
 
yeah ana cheza kikapu mkuuu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom