salaam. wana jamVi.
nmemaliza form six juz nikapata divition 2 naomba msaada wenu mnipe ushaur wapi nitapata mtu wa kuniwezesha kwenda kusoma nje yaa nchi kwan ni ndoto yangu ya kila siku na natamaan sana itimie lakin nashindw nipate wapi msaada. maoni yenu pleeeeez
Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE
daaa.....ungesoma degree ya kwanza hapa tanzania then ya pil na tatu ndio rahisi kupata scholarship.kama umekosa chuo mwaka jaribu mwakani
Ndoto yako ni kusoma nje sasa unataka nani akusaidie kuota.Tumia kichwa chako kikupeleke nje na kwanini unataka kwenda kusoma nje acha ulimbukenisalaam. wana jamVi.
nmemaliza form six juz nikapata divition 2 naomba msaada wenu mnipe ushaur wapi nitapata mtu wa kuniwezesha kwenda kusoma nje yaa nchi kwan ni ndoto yangu ya kila siku na natamaan sana itimie lakin nashindw nipate wapi msaada. maoni yenu pleeeeez
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiki ni nini sasa.......kama huna majibu sahihi piga kimya.....kuliko kuleta stress zko.Ndoto yako ni kusoma nje sasa unataka nani akusaidie kuota.Tumia kichwa chako kikupeleke nje na kwanini unataka kwenda kusoma nje acha ulimbukeni
ubapa umeachwa nini.soma kichwa kitakupeleka ulaya.mimi nimeenda ulaya kwa kichwa changu.division two ni ni ya kawaida sanaHiki ni nini sasa.......kama huna majibu sahihi piga kimya.....kuliko kuleta stress zko.
Mie navyojua,unatakiwa uandike barua ya kuomba ufadhili katika makampuni au mashirika,ambayo yanaendana na course yko.Katika barua hyo uainishe jinsi hayo makampuni yatanuifaka kutokana na kukusomesha ww nnje ya nnchi.......unaweza angalia Google na you tube sample letters za educational sponsorship proposal.salaam. wana jamVi.
nmemaliza form six juz nikapata divition 2 naomba msaada wenu mnipe ushaur wapi nitapata mtu wa kuniwezesha kwenda kusoma nje yaa nchi kwan ni ndoto yangu ya kila siku na natamaan sana itimie lakin nashindw nipate wapi msaada. maoni yenu pleeeeez
Sent using Jamii Forums mobile app
anataka mtu wa kumlipiaMie navyojua,unatakiwa uandike barua ya kuomba ufadhili katika makampuni au mashirika,ambayo yanaendana na course yko.Katika barua hyo uainishe jinsi hayo makampuni yatanuifaka kutokana na kukusomesha ww nnje ya nnchi.......unaweza angalia Google na you tube sample letters za educational sponsorship proposal.
Kaka kumbuka waliokushika mkono kufikia ulipo.ubapa umeachwa nini.soma kichwa kitakupeleka ulaya.mimi nimeenda ulaya kwa kichwa changu.division two ni ni ya kawaida sana
shida kaka nashangaa kwanini anataka kwenda kusoma nje mbona vyuo vingi hapaKaka kumbuka waliokushika mkono kufikia ulipo.
Usimkatishe tamaa huyo ndugu huwezi jua Mungu ameweka nn mbele yake.
So bro be positive
Labda mfadhili wa kukupeleka kwa RAS SIMBA
Ukasome nje ipi , nje kibarazani au
Sent using Jamii Forums mobile app
Nisaidie kumpata pleaseSaahihi Ndiyo nini?
By the way! Njoo Zenji Fika Mitaa ya Michenzani au Bububu Kuna Mzee anaitwa KIRINGO muulizie Kwasababu Sina Contacts zake... Huyu Jamaa Kashawadhamini Watu Wengi tu! Nakuhakikishia Wakati Una nia ya Kusoma basi Atakudhamini na Hata Marekani Utakwenda! Jamaa ni Mtu Mzuri tu na Hela Anayo Mshikaji Hana Noma Hata Kidogo....
KARIBU ZENJI KWA KIRINGO

Thanks kwa kunifungua something I got from uMie navyojua,unatakiwa uandike barua ya kuomba ufadhili katika makampuni au mashirika,ambayo yanaendana na course yko.Katika barua hyo uainishe jinsi hayo makampuni yatanuifaka kutokana na kukusomesha ww nnje ya nnchi.......unaweza angalia Google na you tube sample letters za educational sponsorship proposal.
halafu una division 2!!!?