Natafuta mchumba

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Ndugu zangu habari za saa hizi
Najua wengi wetu tumeishapona vidonda vya uchaguzi na mimi ndo nimemaliza hekaheka za uchaguzi naweza kupumzka nyumbani. Mapumziko yangu yamenifanya nitafute mwenza wangu wa kunifaa maishani, niliyekuwa naye tumeachana miaka 7 iliyopita aliniachia watoto watatu.
Jamani naomba msaada wenu bila kubezana

Sifa
Awe wa kike umri kuanzia miaka 35-40
awe mcha mungu
awe tayari kupenda watoto wangu na kuwatunza
awe dini yoyote
hasiwe mchuma hela

Natanguliza shukurani
 

vigezo vyote ninavyo....ila hapo kwenye bluu ndio patanishinda.....mimi na pesa dam dam
 

utampata
 
vigezo vyote ninavyo....ila hapo kwenye bluu ndio patanishinda.....mimi na pesa dam dam
Petra hizi za huku hazinaenea bado ............ hahah :smile-big::wink2:
 
Ndugu yetu wewe dini gani maana dada zetu lazima watauliza hilo, na umri wako na wa watoto pia ............ hakuna mzaa hapa ni katika kukusaidia kuuza tenda ......................
 
mwanzo uliishi mchumba wa kiume? ufafanuzi kwenye bold blue
 

Kila la kheri:hippie::hippie:
 
Mkuu umeachwa umeachika au umeacha au hujawahi kuoa bali kuwowa?? hayo pia ni maswali ya ziada kutoka kwa mtafutwa jiandae!!
 
dah i imekaa poa
mimi nina watoto wa5
nilikuwa namtafuta mwenza wangu pia...
bas tuchekiane!!!!!!
 
Aiyaa huyu mtu atakuwa kashazeeka, maana umri anaoutaka ni 35+ yrs, He kibabu kinatafuta kibibi, kila la heri
 
umejitambulisha vizuri sana
nakutakia kila lakheri....
mimi niko nje ya umri huo...
kwa hiyo nimetoka..........
 
Mbona watu wengi wamekuwa wakitafuta wachumba JF kulikoni?:nono:
wanadhani jf ndo sokon au mton unaweza tu kuopoa kwa urahisi...mtu anasoma post zako afu anakupimia tu like uyu ni...nikimwambia ivi itakuwa poa.....so wameona weng umu na wanapima kwa post so wanazani watakubaliwa.......!!!!!
 
vigezo vyote ninavyo....ila hapo kwenye bluu ndio patanishinda.....mimi na pesa dam dam

Itabidi asikubane sana kuhusiana na hilo labda amaanisha ya kuwa alikwishachuma za kutosha wewe ni kwenda kuzitafuna tu na ikibidi uje na wanandugu wote mkasherehekeeeeeeeee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…