Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,270
- 675
Ndugu zangu habari za saa hizi
Najua wengi wetu tumeishapona vidonda vya uchaguzi na mimi ndo nimemaliza hekaheka za uchaguzi naweza kupumzka nyumbani. Mapumziko yangu yamenifanya nitafute mwenza wangu wa kunifaa maishani, niliyekuwa naye tumeachana miaka 7 iliyopita aliniachia watoto watatu.
Jamani naomba msaada wenu bila kubezana
Sifa
Awe wa kike umri kuanzia miaka 35-40
awe mcha mungu
awe tayari kupenda watoto wangu na kuwatunza
awe dini yoyote
hasiwe mchuma hela
Natanguliza shukurani