Natafuta mchumba

wanadhani jf ndo sokon au mton unaweza tu kuopoa kwa urahisi...mtu anasoma post zako afu anakupimia tu like uyu ni...nikimwambia ivi itakuwa poa.....so wameona weng umu na wanapima kwa post so wanazani watakubaliwa.......!!!!!
Loooh. dada yangu Rose1980.............Acha ubahiri..........wenzio wamekushukuru mara 251 lakini wewe umeshukuru mara moja tu .......ka dada Rose1980 walainishie wenzio hicho kiganja ili uwe unabonyezabonyeza hicho kitufe mara kwa mara....................

Usihofu hata kama hao utawashukuru wakifikiri kuwa upo sokoni na ya kuwa unapatikana kwa urahisi.........mimi nitawakumbusha watofautishe majambos...........
 
Binafsi natafuta kupitia mtandao kwasababu muda mwingi ninakuwa sina muda wakukutana na watu ana kwa ana kutokana na muda mwingi kumezwa na shughuli ninazofanya.
Hivyo basi,nikitumia nafasi hii ni sawa tu;labda wapo wengine wenye kubanwa na muda wa ku-socialize
 
He! na wewe pia?anzisha basi sred yako ili tuone vigezo vyako
 
Huyu ndugu aliomba kabisa msimbeze lakini naona imeshindikana kama kawaida yenu wabongo...Lakini naamini tungefurahi kusikia siku moja wajane wawili wamekutana kupitia JF na sasa wanawaalika wana JF katika sherehe ya Ndoa yao...ajitokeze huyo mjane akasaidiane na kamanda hapo kuwatunza hao watoto wenu coz kama ni ku do mmesha do sana sasa hivi mnaangalia mustakabali wa maisha ya watoto wenu atleast waishi maisha ya kifamilia hata kama si ya wazazi wa damu
 
Ndugu zangu habari za saa hizi
Najua wengi wetu tumeishapona vidonda vya uchaguzi na mimi ndo nimemaliza hekaheka za uchaguzi naweza kupumzka nyumbani. Mapumziko yangu yamenifanya nitafute mwenza wangu wa kunifaa maishani, niliyekuwa naye tumeachana miaka 7 iliyopita aliniachia watoto watatu.
Jamani naomba msaada wenu bila kubezana

Sifa
Awe wa kike umri kuanzia miaka 35-40
awe mcha mungu
awe tayari kupenda watoto wangu na kuwatunza
awe dini yoyote
hasiwe mchuma hela

Natanguliza shukurani

Kila la kheri Ndugu...Hapo kwenye blue pamesababisha nisishiriki kabisa.
:violin:
 
Preta;vigezo vyote ninavyo....ila hapo kwenye bluu ndio patanishinda.....mimi na pesa dam dam

Si utafute za kwako, kwani unaolewa kutafuta pesa au kutengeneza maisha yenu yawe bora, au wewe na pesa damn damn sijakuelewa. Ndo maana watu kama nyie mnaishia kunyanyasika katika maisha yenu ya ndoa. Unampenda mtu kwa pesa yake ukifika ndani huoni hiyo pesa unanunuliwa kila kitu ndani mwanaume huyo na wengine maana anajuwa ulimpendea pesa yake, tafuta ya kwako au mtafute na mzitengeneze wote usijilemaze kupenda kupewa pesa na mume kisa wewe mwanamke.
 
Binafsi natafuta kupitia mtandao kwasababu muda mwingi ninakuwa sina muda wakukutana na watu ana kwa ana kutokana na muda mwingi kumezwa na shughuli ninazofanya.
Hivyo basi,nikitumia nafasi hii ni sawa tu;labda wapo wengine wenye kubanwa na muda wa ku-socialize

mwaga cv yako.
 
Mbona hakuna any details about you Mr. JK??? It works both ways, lazima mtu ajue datas zako kabla hajawasiliana nawe
 
Mwanamke mwenye sifa hizo umemkosa kwenye mikutano yenu ya CCM?
Ndugu zangu habari za saa hizi
Najua wengi wetu tumeishapona vidonda vya uchaguzi na mimi ndo nimemaliza hekaheka za uchaguzi naweza kupumzka nyumbani. Mapumziko yangu yamenifanya nitafute mwenza wangu wa kunifaa maishani, niliyekuwa naye tumeachana miaka 7 iliyopita aliniachia watoto watatu.
Jamani naomba msaada wenu bila kubezana

Sifa
Awe wa kike umri kuanzia miaka 35-40
awe mcha mungu
awe tayari kupenda watoto wangu na kuwatunza
awe dini yoyote
hasiwe mchuma hela

Natanguliza shukurani
 
Hili lisredi mbona la muda mrefu hivi. Atakuwa kashapata na watoto kashazaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom