Natafuta mchumba

Natafuta mchumba

Hata sisi hatutaki kuwa maYAYA..........watoto 3 tena wa kiume......?........labda wangekuwa wa kike tungefikiria........

ajaribu waPARE...........
ni kweli mkuu mana siku ukizubaa hao watoto wa kiume watakuniga siku moja mana baba ana 40yrs imagine mtoto wa kwanza ana 20something afu aone mama mwenyewe unaita afu mama wa kukodi aaaaaaahhhhhhh lazima akunige
 
hilo ndo tatzo kwa wanawake wa kiafrika kulea watoto wa wanawake wenzao hawawezi lakini siye tunalea watoto wa wanaume wenzetu bila shida,kwanini madada mko hivyo?
 
Hata sisi hatutaki kuwa maYAYA..........watoto 3 tena wa kiume......?........labda wangekuwa wa kike tungefikiria........

ajaribu waPARE...........

Hahahaaaa ni shida
 
mwanamke wa miaka 26-30 na mwanaume wa miaka 35-40 hao ni rika moja tu hakuna hapo wa kumcheka mwenzake.
hivyo jamaa yuko sahihi kabisa labda kigezo cha kuwa na watoto tena wa3 ndicho kigumu kwake kupata anayemtaka.
 
Hapo ni vizuri utamfute mwenye mtoto tayari, au aliyeolewa akaachika au Mjane. Umri wako kwanza umeenda saan miaka 40, watoto wa3, tena wakiume ingawa hujataja umri wao, na kwa mwanamke wa umri unaomtaka usishangae ukachangia mwanamke na wanao.
 
Hvi miaka 40 mtu ni kijana au mzee?
 
Hata sisi hatutaki kuwa maYAYA..........watoto 3 tena wa kiume......?........labda wangekuwa wa kike tungefikiria........

ajaribu waPARE...........



preta ntake radhi sisi ndio ma house girl ee. mtu mwenyewe anaonyesha ni bonge la mbinafsi, mmbaguzi ana team ya watoto anajua maisha kuna kukosana lakini hahitaji mwenye mtoto wala aliyewah kuchumbiwa mnaotaka someni kitu hapo kizito unaweza chomwa sindano yakukausha kizazi aloo ulee wake wakue upite hiviiii
 
utapata mzee wangu(40) wanawake hawaolewi sikuhizi sharti punguza masharti, iwe hivi awe mtanzania, kabila lolote, atleast darasa la saba, umri sijari, awe tayari
 
msimamo wangu uko palepale...hakipungui kigezo hata kimoja....im not desperate material but because also im a politician natakiwa nioe niwe na mke.....sitaki mwanamke mwenye mtoto na sitaki mwenye miaka zaid ya thelathin huyo ashazeeka kabisa kwangu....atak kimwana ambaye ametulia atakayenifanya nitulie forever tuenjoy life...sitaki stress any more....infact pia inatakiwa awe very beautiful...kama yupo wa hivyo tuwasiliane...hayupo wa hivyo nitajichagulia mwenyewe...mwanamme ni bidhaa adimu....inapojitoeza hivi nilitarajia majibu mazuri kutoka kwenu but matokeo yake mmeanza kashfa....mara mjane mara kitu gan........sijawah kuwa mjane na umri wangu sijazeeka hata kidogo...mshindwe na mlegee
 
Warangi, wanyiramba na wambulu walikutenda nini mkuu?
 
vigezo havipungui hata kimoja...im not a desperate material...kama mmeshindwa hii fursa wapo wengi tu wanaoililia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom