kan'tangaze njoo shga angu kuna kijana anatafuta mchmba😝😝😜
preta ntake radhi sisi ndio ma house girl ee. mtu mwenyewe anaonyesha ni bonge la mbinafsi, mmbaguzi ana team ya watoto anajua maisha kuna kukosana lakini hahitaji mwenye mtoto wala aliyewah kuchumbiwa mnaotaka someni kitu hapo kizito unaweza chomwa sindano yakukausha kizazi aloo ulee wake wakue upite hiviiii
msimamo wangu uko palepale...hakipungui kigezo hata kimoja....im not desperate material but because also im a politician natakiwa nioe niwe na mke.....sitaki mwanamke mwenye mtoto na sitaki mwenye miaka zaid ya thelathin huyo ashazeeka kabisa kwangu....atak kimwana ambaye ametulia atakayenifanya nitulie forever tuenjoy life...sitaki stress any more....infact pia inatakiwa awe very beautiful...kama yupo wa hivyo tuwasiliane...hayupo wa hivyo nitajichagulia mwenyewe...mwanamme ni bidhaa adimu....inapojitoeza hivi nilitarajia majibu mazuri kutoka kwenu but matokeo yake mmeanza kashfa....mara mjane mara kitu gan........sijawah kuwa mjane na umri wangu sijazeeka hata kidogo...mshindwe na mlegee

Nakushukuru.....
Usikate tamaa mkuu, baada ya kusikia ww ni kada na mwanasiasa tokea kile chama kikongwe chenye mihela basi utpokea PMs nyingi sana. Nafikiri walikuwa hawajakuelewa ww ni nani???😀
Una watoto watatu hapo tafuta mjane mwenzio mkuu
mmmh! Mbona na ww ulikuwa na nanilii yule wa pale
Halafu anaogopa uzee ndio maana ametanguliza kusema yeye ni kijana wakati ana miaka 40!!!!!!!!
C.C.M ukiwa na miaka 40-75 wewe bado kijana! mwisho wa ujana kwa MACCM ni miaka 75!