Punguza wenge, mtoa mada ni keMiaka 34 mwanamke utampata wapi ambaye hajaolewa na kuwa na mtoto? Labda upate single mother
Punguza wenge, mtoa mada ni keMiaka 34 mwanamke utampata wapi ambaye hajaolewa na kuwa na mtoto? Labda upate single mother
Basi ukinipata mimi utafurahia zaidi, serious.Yeah na nafurahia
Alooh umenijuaje mamiii eb njoo piemuni tuyajengeMimi ni ke, natafuta mchumba umri miaka 34, sifa na muomekano mwembamba mweupe, mrefu kidogo awe muajiriwa wa Songea Ruvuma, makazi yawe ya kudumu huku songea, dini roman....mimi pia ni muajiriwa karibu dm....usiwe na familia kuanzia watoto wawili, labda mmoja tu.
Awe tayari kupima afya.
Kuna kuedit mkuu uzi umefanya kueditiwa kabla hajaonesha yy ni jinsia ganiKasema yeye KE!
MUWE mnasoma vizuri before.